Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Hahahhaa, Unaanzaje kuchukia kulipa 65000 wakati unajua kabisa umeokota dodo chini ya muarobaini.? 65,000 is nothing wadau kwa kuzingatia unachopata. Nimewaambia wadau kuwa leo tuu tumekula breakfast ya buku 30 ( yaani msosi draft ulikuwa, hapa pipi, pale kuku, kule kababu, huku chocklate, unaamua uchukue chai ya maziwa, soda, maji, au juice). Wakati naingia nilimuona mtu kafanania na mberoya anachungulia kwa mbaaaaali haamini kama watu wamejaa na wamejitokeza Haahahaaa.(Joke )

Kwenye msosi hapo ilibidi uweke nakazalika..maana umesahau ,clips,chocolate,maji ya kirimanjaro na sio afya etc..
 
Kwenye msosi hapo ilibidi uweke nakazalika..maana umesahau ,clips,chocolate,maji ya kirimanjaro na sio afya etc..

Aiseee na kweli. maana mazaga yalikuwa mengi sanaaaaa. maana mpaka mengine unayasahau. Ila all in all tunashukuru tuu siku imewadia na tunakaribia kuanza.
 
IMG_20170909_120435.jpg

Hivi hawa jamaa wametusahau ama vp
 
Habari wakuu
Poleni kwa majukumu.

Kwanza pongezi kwa Ontario na ndugu wote humu ndani,pia hongera kwa wenzetu ambao wametoka mikoani na kufika salama

Mimi na nduguyangu tumepata ajali eneo la wami tukitokea Tanga kuja Dar kwa ajili ya kujumuika na wenzetu katika launching ya forex institute na ku attend training kama ilivyokua imepangwa.
Naomba excuse ifike kwa Ontario na TMT kwaujumla.
kwa sasa tupo Hospitali ya Bombo Tanga mjini,kwamimi nina nafuu kidogo ila mwenzangu hali bado mbaya.
Forex tunaipenda na bado tuna uhitaji wa training.

Mwisho niseme shukrani kwa Ontario kwa kutujuza wengi kuhusu forex pia na wachangiaji wengi walio taughtoa ushirikiano mpaka hapa tulipo fikia,
Napenda kuwatakia Maandalizi mema,sherehe njema za ufunguzi na training njema MUNGU akipenda tutakua pamoja hata batch zijazo.
GOD BLESS ONTARIO,
GOD BLESS TMT TRADERS,
GOD BLESS FOREX SUPPORTERS FROM JF,
AMEN.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mwaka Mpya, poleni sana. Mlikuwa mmethubutu, lkn ya Mungu mengi. Mungu awajalie uponyaji.

Pili, JF waliopo mombo, ni vema mfike kuwajulia hali majeruhi. Itawafariji sana.

Tatu, nawatakia kila la heri wote mliohudhuria uzinduzi huu muhimu.

I hope the next city will be Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys let's stick on our focus, sioni haja ya kubishana na mtu asiyejua chochote lkn anataka aonekane anajua kila kitu. They'll ignore now until they'll need it later. It's a matter of time, tusibishane kwa maneno, that's not being smart, tufanye tunachokifanya then baadae results will speak louder, not words.

This is how my morning looks like with my new small account.
49b662071d5c77b8a9439ff0e90c631b.jpg


Mtu asiye na vision anaona mil 19 ni pesa nyingi, hua nasemaga njaa ikiwa tumboni sio mbaya sana, lkn njaa ikipanda kutoka tumboni hadi kichwani, hapo ndio basi tena, taifa tunakua tumepoteza nguvu kazi.

Mtu anashangaa mil 19 lkn hajiulizi kodi ya office nimelipa $21,240 - miezi 6 (tax exclusively), achana na gharama zingine zooote. Sasa kama mil 19 inawatoa roho baadae nitaanza kucharge $100 kwa kila kichwa, kwa mwezi nachukua wanafunzi 400 (piga hesabu afu ujue kua njaa ya kichwank ni sumu mwilini), hapo achana na pesa ninayotrade kwa account yangu kubwa. Hawa wote wanaobwabwaja ni senior traders, and I still hv plenty time to confuse enemies. Watch this space!!
Uko mbali sana, sioni wa kukushusha labda kifo na uchawi wa kule kwenu majita. Mungu akuongoze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaniuma sana but I wish I KUDU BE THERE (hahaa)..

Niwatakie kila la heri kwa watakao fika na watakao kuchaguliwa!

Ila mjue ni nafasi adimu mmepata, na mtachojifunza kisiishie tu hapo jengoni... Elimu hii muwafikishie wanafamilia wenu na watanzania wengine kwa ujumla hasa ambao wana struggle na maisha!!

Kila la heri mkuu na pia nikupe pole kwa hii hustle unayopitia hasa hapa jamvini..Jua tuko pamoja!! Zaidi ya yote Mungu awe pamoja nasi katika hii safari!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu pole
 
Back
Top Bottom