Bring Back our Miss Chagga

Last edited by a moderator:
Tatizo alinikataa nikamuombea ban huyu miss chagga

Si kweli... we mzikiwako uko na Lara 1

Uuuuwiii nakula sumu. kaniapia miungu yote hadi ya juu ya miti na milimani katumia siku tatu mfululizo kuapa pale barazani ati hana mtu mwingine mimi ndio namuanza. ahsante mkuu kwa kinihabarisha. pete yake ataikuta pale pale aliponivishia
 
Last edited by a moderator:
Uuuuwiii nakula sumu. kaniapia miungu yote hadi ya juu ya miti na milimani katumia siku tatu mfululizo kuapa pale barazani ati hana mtu mwingine mimi ndio namuanza. ahsante mkuu kwa kinihabarisha. pete yake ataikuta pale pale aliponivishia

umemtafsiri vibaya baby
wewe Neutral Figure njoo uweke mambo sawa huku
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama atabadili kauli. pete iko pale usisahau kuipitia
 
Ina maana miss chagga alikuja na id nyingine humu nayo ikafyekwa na kuunganishwa na hii..? Kweli mode wamekasirika.. Na sababu tu katumia jina la ay.a.toll.ah..? Nashauri mgomo ufanyike kushikinikiza kurudishwa kwa miss chagga.. Hamna demokrasia humu lol..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…