Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu
Najua yuko ban
Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa
Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...
Bring back our miss chagga
miss chagga yupo geto kwangu anakula miwa...nyie pigeni kelele, anarudi jumatatu.🔇
Haaaaaah haaaaaah kumbe unampa muwa..! Hii ni hataree
mademu JF ni watafutaji tu kama hao wa barabarani, tofauti yao hawa natumia visimu na bundle kututafuta mabwana hapa. jivutie mmoja, kina heaven on earth, Lara 1, na wengine weengi
mademu JF ni watafutaji tu kama hao wa barabarani, tofauti yao hawa natumia visimu na bundle kututafuta mabwana hapa. jivutie mmoja, kina heaven on earth, Lara 1, na wengine weengi
miss chagga yupo geto kwangu anakula miwa...nyie pigeni kelele, anarudi jumatatu.🔇
Tatizo alinikataa nikamuombea ban huyu miss chagga
Huu utakuwa ni uonevu tu, miss chagga ni mtu poa sana hapa jamvini. Kama katenda kosa la kustahili kufungiwa basi asamehewe.
Lakini sheria inakata kotekote bank
Ni kweli Mkuu lakini hapa nimeshaona wanaostahili kufungiwa hawafungiwi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na wengi wamelalamika bila mafanikio. Miaka ya nyuma ulikuwa humtusi mtu hapa utakula kibano ukirudi adabu mtindo mmoja. Tangu waje hawa buku 7 ndio matusi yakaongezeka na kufungiwa hawafungiwi. Sijui labda katenda kosa.
habaki huko milele
Jamani wamempiga ban mchepuko wangu miss chagga..? Amefanya nini tena..? Na ndo maana jukwaa limepooza lol.. Honey Faith ana habari hizi lakini..?
Namwona tu Invisible ana like tu hapa....Mkuu tuambie neno --------- ni kosa gani kulitamka?