Bring Back Del Kisandu.

Bring Back Del Kisandu.

BRING BACK DEO KISANDU.

Kwa kuwa Mimi mmeninyima Haki ya kifamilia na ushirikiano mpaka haki ya kufanya maendeleo yangu binafsi nayo nimepokonywa na Mimi nawanyima Haki ya kuishi kwa Jina la Yesu. Mungu awapelekee roho ya mauti wote mlioshiriki kuniweka vizuizini na vikwazo vya kimaishaView attachment 492469 #NabaDO#.

make FREE DEO KISANDU#

Naomba andiko mkuu!
 
Mkuu Deogratius Kisandu,bado sijaelewa kwanini wanafamilia wenzako wanakunyanyasa hivyo lazima kuna kitu uliwafanyia visivyo,sema ukweli usaidiwe .
 
Ndugu Deo, hata hamorapa anakuzidi namna ya kutafuta kiki??? Nenda kajiunge na management yake ili upewe promo, hizi unazoleta humu ni vituko tu
 
Moderators

Kwanini mnaruhusu schizophrenics jukwaani?
 
Wenye majina ya Deo mwenzenu huyu anawavua nguo.
Mara nyingi watu wenye majina yanayoanza na "D" huwa siwaelewi kabisa.!
Ref: Daudi wa kolomije na huyu "Kisanduku" mh.!
 
BRING BACK DEO KISANDU.

Kwa kuwa Mimi mmeninyima Haki ya kifamilia na ushirikiano mpaka haki ya kufanya maendeleo yangu binafsi nayo nimepokonywa na Mimi nawanyima Haki ya kuishi kwa Jina la Yesu. Mungu awapelekee roho ya mauti wote mlioshiriki kuniweka vizuizini na vikwazo vya kimaishaView attachment 492469 #NabaDO#.

make FREE DEO KISANDU#
Duh,we jamaa mzima kweli?

Yani unajianzishia uzi wa kujitafuta wewe mwenyewe aisee hata kama kuisoma namba si kwa dizaini hii kwa kweli
 
Yaan huyu baba sijui,ni kaka hata simuelewagi kabisa mwenzenu!hahahahaa
 
Wagonjwa wa akili wanaongezeka kila siku.
 
hii specie ya wapi?...yni inaandikaga nyuzi hazieleweki..
 
Back
Top Bottom