Bring Back Del Kisandu.

Bring Back Del Kisandu.

Kila nikiona nyuzi yako MTEMI MKUU napata faraja kuwa Mimi nna afadhali.....kumbe kuna watu afadhali yangu
 
Mkuu kile chama chako umeshasajili? nakukubali kinoma ntakuwa wa kwanza kuomba usajili
 
Nawe umetekwa.. Jitahidi uende na smartfone tutamiss nyuzi zako
 
Mkewangu... Njoo pande hizi.!! Kimenukaaa...

Tafadhali njoo na lile bango langu nililolichora asubuhi kwa ajili ya maandamano kumtetea tunu ya taifa hili... Mtemi kiongozi D. N. Kisandu..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu kisandu mimi nakutia moyo, japokuwa wanakifanyia fitina, ila naamini "hautaishia kuwa Waziri Mkuu tu, bali utakuwa mpaka rais kama ulivyopangiwa"


# BringBackDelKisandu


Cc Nifah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiiiiiii
Dah huyu jamaa yetu leo hajatoa mpya?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiiiiiii
Dah huyu jamaa yetu leo hajatoa mpya?
Nifah eeee leo katoa mpya kabisaa tena classic....mtafute umsome ha ha ha ha haaaaa safiii sanaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Bado nastaajabia maajabu ya Mungu! Sijui angetuumba tufanane dunia ingekuwaje[emoji23]
 
Back
Top Bottom