Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
Waziri wa zamani katkia SMZ Brg Gen Mstaafu amefariki dunia mchana wa leo ktk hosp ya jesh Lugalo!!
Nilikuwa hapo punde pata habari hizi, sijui alikuwa anasumbuliwa nanini mwanasiasa huyu mkongwe!
.....Shukuru mungu halijakufika wewwe.....R.I.P Br.Gen Adam Mwakanjuki..Haya mazishi yatakuwa na manufaa kwa CCM kujijenga na kujisogeza kwa wananchi