Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,691
- 22,189
Shida yake gari ya kutamba kwa muda tu kama zilivyokua baloon,gx 100 now brevis inaenda alijojo ikifuatiwa kwa mbali na mark x,nachoipendea tezza imesimama vile vile toka ilivyoingia bongo kama ilivyo i.s.t na rav 4 old modelGari crown tu kwanza nzito then very comfortable
Crown ni gari za muda mrefu sana sokoni maarifu kama Royal Salon. Chagua crown athletes 2 JZ FTSE engine cc 3,000 au crown Majesta cc 4,600.Shida yake gari ya kutamba kwa muda tu kama zilivyokua baloon,gx 100 now brevis inaenda alijojo ikifuatiwa kwa mbali na mark x,nachoipendea tezza imesimama vile vile toka ilivyoingia bongo kama ilivyo i.s.t na rav 4 old model
Hiyo engine ina nguvu sana lakini haiwezi kufua dafu kwa 2JZ GTE twin turbo. Hii engine ikiwa tuned inafikisha horse power 1,500 na ni miongoni mwa engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na toyota wakishirikiana na Yamaha.Niko na Legacy B4 Twin Turbo RSK (Rally Sport Kompressor)...zimetengenezwa kukimbia sio kutembea. Nikiwaga road ukitaka unichefue ni wewe mwenye Brevis au Tezza unisogelee nikuone kwenye side mirror. Niko na aleji na hizo aina mbili niko tayari nipitwe na Duet, March au Vits lakini sio Brevis na Tezza.
Gari kubwa ila body jepesi. Kwahyo cc2700 inapush freshGari kubwa kama ile toyota wameiwekea engine ya 2700cc,daah iko undepowered kinyama.
Hilo majesta na royal sasa hivi hata m 5 umuuzi mtu,hayana tofauti na baloon na gx 100 kwa sasa,na ndivyo itakavyokua hiyo athlete baada ya miaka 3,kuna jamaa yangu anamiliki hilo majesta,liko liko tu now mpaka namuonea huruma,lishakua ndoa ya kikatolikiCrown ni gari za muda mrefu sana sokoni maarifu kama Royal Salon. Chagua crown athletes 2 JZ FTSE engine cc 3,000 au crown Majesta cc 4,600.
Nimeendesha hio gari iko underpowered.Gari kubwa ila body jepesi. Kwahyo cc2700 inapush fresh
Tezza imesimama?Shida yake gari ya kutamba kwa muda tu kama zilivyokua baloon,gx 100 now brevis inaenda alijojo ikifuatiwa kwa mbali na mark x,nachoipendea tezza imesimama vile vile toka ilivyoingia bongo kama ilivyo i.s.t na rav 4 old model
Haahah mzee baba umenichekesha kinyama,ila mjomba sijamuelewa kabisa alichokisema mpk sasa.Wabongo ni matatizo aisee sometimes ni Bora akae kimya kuliko kujifanya anajua
Tezza imesimama?
Wkt sa hivi zinachezea hapo kwny mil 4-5 mkononi mwa watu.
[/QUOTEtezza ina muda gani na brevis ina muda gani toka ziwepo road ya Tz,na ipi kati ya hizo at least bado ipo kwenye chat?
Mkuu unataka nikae kwenye vitz nn 😂😂Hapo zote ni choka hakuna yenye afadhali hapo.
Hahah hamna mwanangu vuta ile kitu roho inapenda, nadhani tezza yenye 3S-GE,HP 216 sio mbaya mkuu.Mkuu unataka nikae kwenye vitz nn
Crown haijafungwa injini ya 2jz ftse ni 4gr na 3grCrown ni gari za muda mrefu sana sokoni maarifu kama Royal Salon. Chagua crown athletes 2 JZ FTSE engine cc 3,000 au crown Majesta cc 4,600.
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Hahah hamna mwanangu vuta ile kitu roho inapenda, nadhani tezza yenye 3S-GE,HP 216 sio mbaya mkuu.
Vr-25 ndo inatembea balaa ni 1JZ-GTE lkn kuipata yenyewe gharama si mchezo,majuzi niliiona mtandaoni CIF $8700 bado kodi bongo na ilinunuliwa fasta tu,hizi verosa nyingine zenye IG-FE 2.0l hii mwendo wake kama wa cresta na 2.5 L 1JZ-FSE sio mbaya.Vipi kuhusu VEROSA mkuu?
Brevis ni hatari ikikutangulia hauikamati..
Mimi ninayo brevis rangi nyeusi CQM, engine 2500Cc. Bei Mil 6.5
0657 230355 ni check whatsup
Vr-25 ndo inatembea balaa ni 1JZ-GTE lkn kuipata yenyewe gharama si mchezo,majuzi niliiona mtandaoni CIF $8700 bado kodi bongo na ilinunuliwa fasta tu,hizi verosa nyingine zenye IG-FE 2.0l hii mwendo wake kama wa cresta na 2.5 L 1JZ-FSE sio mbaya.
Daah huko mbali sana mkuu icheze 5-6mil tena ikifika 6mil umempendelea sana sana mkuu.,yameshakua ya kizamani kiaina ingawa pia body yake kwa kazi za suluba haifai.Kuna jamaa ana shida ameanzia 9Mill na. C.....
Daah huko mbali sana mkuu icheze 5-6mil tena ikifika 6mil umempendelea sana sana mkuu.,yameshakua ya kizamani kiaina ingawa pia body yake kwa kazi za suluba haifai.