Sasa anachunguza nini kama siyo kuwafanya waTanganyika wapumbavu. Au tu ni kutumia pesa za uuma bure kuhalalisha mauaji!kwa kawaida raisi hawezi kuteua wajumbe wa tume ambao anatofautiana nao kimtazamo. hiyo haipo
kwa kawaida kila siku raisi hupokea taarifa za tume kila siku jioni. hivyo basi anaweza kuwaelekeza cha kufanya kwa wakati husika
Iitwe majina yote lakini itoshe kusema TUME ILE SIYO HURU
Utakuwa madrasa graduate kwa reasoning hiiIngekuwa tume imeundwa na Lissu angesema anaikataa angeeleweka ila tume ni Rais ambaye ni kiongozi wa nchi nzima
unaikumbuka tume ile iliyoitwa ya HAKI JINAI?Sasa anachunguza nini kama siyo kuwafanya waTanganyika wapumbavu. Au tu ni kutumia pesa za uuma bure kuhalalisha mauaji!