Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Mkuu nimetumia Fasihi hapa, namaanisha the opposite .🙏🙏🙏🙏🙏Utakua unawaongelea wale kina Lord waliotupostia picha hapa wakati wa kupiga kuru wakatuonyesha kadi ya CCM na pembeni kura kwa Tundu