BRELA inakimbiza wawekezaji

BRELA inakimbiza wawekezaji

Kwanini unapenda kuifananisha Marekani na Tanzania? Hao jamaa wapo very advanced kuliko nchi nyingi sana hapa duniani.

Marekani wanapiga kura ya Veto huko UNSC. Tanzania wanazo hizo nguvu za kisiasa?

Matatizo ya Afrika yanahitaji ufumbuzi wa kiafrika na sio kila kitu kuiga kutoka Ulaya na Marekani.
Wewe jamaa bhana
 
Then Muulize Rais kwanini hua anasema anataka Tz iwe kama Ulaya/US.

Kwanini hataki Tz iwe kama nchi nyingine za kiafrica?
 
Kwanini unapenda kuifananisha Marekani na Tanzania? Hao jamaa wapo very advanced kuliko nchi nyingi sana hapa duniani.

Marekani wanapiga kura ya Veto huko UNSC. Tanzania wanazo hizo nguvu za kisiasa?

Matatizo ya Afrika yanahitaji ufumbuzi wa kiafrika na sio kila kitu kuiga kutoka Ulaya na Marekani.

Ni vyema kujifunza kwa walioendelea...ukijifananisha na watu wa level yako kamwe utabaki ulipo
 
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI.

Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241

Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa.

Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela atakubaliana nami.

Ni hivi, unakamilisha docmnts na kusubmit online Brela. Unasubiri majib na baada ya muda unajibiwa ufanye marekebisho(Additional Information/correction is required.

Unafanya marekebisho yote uliyoelekezwa na unasubmit upya. Baada ya siku au siku mbili dcmnt zinarejeshwa tena kuwa ufanye tena marekebisho(Additional Information/correction is required.

Kinachouma sana na kukera sana ni kwamba haya marekebisho unayoambiwa ufanye kwa hii mara ya pili ni MAPYA. Kwa maana dcmnt zilivyorejeshwa mara ya kwanza hayakuwa matatizo ila mara ya pili yameonekana ni matatizo.

Unarekebisha mara ya pili na kusubmit tena. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.

Haya ya mara ya tatu nayo unakuta ni MAPYA. Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili yameonwa mara ya tatu.

Unarekebisha tena na kusubmit. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.

Haya ya mara ya nne nayo ni marekebisho MAPYA.
Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili, hayakuona uliporudishwa mara ya tatu, sasa yameonwa mara ya nne.

Mchezo unaendelea hivyo mpaka mwezi au zaidi. Halafu unasikia Mtendaji Mkuu wa Brela inaiambia Serikali, Dunia, na Wawekezaji kuwa sasa Tanzania Brela inasajili Kampuni na Biashara ndani ya saa 24. Ni aibu sana.

Hoja sio kwamba marekebisho yasifanywe ama usajili ufanyike bila sifa kutimia, Laa hasha.

Hoja ni kwamba, huyu anayesoma dcmnt na kuzirejesha anashindwaje kupitia dcmnt nzima yote kwa umakini, akaorodhesha yoooote yanayotakiwa kufanyiwa marekebisho, ukairudisha ili yote yafanyike kwa pamoja.

Inakuwaje marekebisho yasionwe dcmnt ziliporudishwa mara ya kwanza yaje kuonwa mara ya pili na ya tatu na kuendelea.

Na bora ingekuwa kwamba kile ulichoambiwa kurekebisha umekirekebisha vibaya kwahiyo unatakiwa ukirekebishe vizuri zaidi, hapana. Hiki ulichoambiwa kurekebisha kinaachwa kwa maana kuwa umekirekebisha vizur unaletewa kipya kabisa ambacho hakikuwa kimeonwa mara ya kwanza, ama ya pili, ama ya tatu. Ni kero, usumbufu, na aibu kwa watendaji.

Msichojua ni kwamba wengi wanaosajili Makampuni na biashara ni Wawekezaji.

Anakuja mwekezaji kutoka nje unamuhakikishia kuwa ndani ya siku moja,mbili,tatu utakuwa umemsajilia Kampuni. Anasubiri siku, wiki, wiki mbili, tatu, mwezi mwezi na zaidi hakuna kitu.

Mimi kama Wakili, ama mtu mwingine aliyepewa kazi ya kusajili siwezi kukubali kuaibika kwa mteja wangu. Nitamwita, nitamuonesha majibu ya Brela kwenye system. Nitamuonesha marekebisho mapya ambayo hayakuwa yameletwa mwanzoni yanavyoletwa kila baada ya siku mbili au wiki.

Ataelewa kosa sio langu ni la BRELA. Ataondoka sababu hawez kusubiri zaidi anaingia gharama kubwa za Malazi. Ataenda kufungua Kampuni Rwanda au Kenya ambako kwa dhati yake kampuni inasajiliwa ndani au chini ya Saa 24. Hivi ndivyo tunavyopoteza wawekezaji kupitia Brela.

Lakini ni kero zaidi sababu kila marekebisho yanahitaji wanahisa ama wakurugenzi wasaini. Utawaita kusaini mara ngapi. Na vipi kama walisaini wakaondoka na kwenda mbali.

Kuna mda unawaza labda pengine aliyepitia kazi mara ya kwanza siye aliyeipitia mara ya pili, na siye aliyepitia mara ya tatu, pengine ndo maana kila mtu ametaka marekebisho yake tofauti.

Kama ndivyo, basi hiki ndicho kirusi chenyewe. Ina maana Brela haina STANDARD moja ya kazi kiasi kwamba kila mtu ana marekebisho yake. Yaani marekebisho sio STANDARD bali mtazamo wa mtendaji. Utumishi wa hovyo na wa Kijima kabisa.

Inakuwaje jambo ambalo jana mtendaji fulani alipitia na kuliona sio la marekebisho, mtendaji aliepitia leo akaona ni la marekebisho, na mwingine anayepitia kesho kutwa akaona jingine ambalo wa jana hakuona, na mwingine wa mtondogoo akaona jingine ambalo wa juzi hakuona, hivyo na hivyo na kuendelea. Wallah kazi haziwezi kufanyika hivyo. Huu ni mchezo na masihala.

Au mpaka mtu amuone mtu, ujinga mtupu. Waulizeni wadau wa usajili hasa Mawakili na Wanasheria kama hiki nilichoeleza ni tatizo ama hapana mtapata majawabu.

Tunataka mtu akisubmit kazi, mtendaji anayeshika hiyo kazi aipitie kwa umakini na kuainisha marekebisho yooote lwa pamoja(kama yapo), na asiache hata moja.

Kisha arejeshe hiyo kazi ili yafanyiwe marekebisho na mhusika. Kama yamerekebishwa vizur mpatie Certificate. Kama sio mrejeshee tena yale yale yamaliziwe na sio umletee mapya.

Ukileta mapya tafsiri yake ni kwamba ile mara ya kwanza hukupitia kwa umakini. Ulizembea na hiki ndicho tunachopinga kwa nguvu zote. Kampuni itachukua mwezi na zaidi kusajiliwa.

Pengine hamjui umuhimu wenu katika Uwekezaji Tanzania. Ni hivi, Brela ndio mlango ama hodi ya uwekezaji. Sababu mwekezaji hawezi kwenda hata TIC au Immigration kama hana certificate ya Brela. Mwekezaji lazima aanzie Brela kwanza ndo aende kwingine.

TAFADHALI Brela Acheni Kukimbiza Wawekezaji.

Pia soma > Majibu ya Mtendaji mkuu BRELA kuhusu kinachoitwa "Kukimbiza wawekezaji"
Hujakosea hata kidogo ndugu yangu hii ni Kero yangu kubwa Sana Sana Sana Sana

Yani brela ni vichomi na sio kwamba wanakatisha tamaa wawekezaji tu hapana Bali mpaka vijana wenye ndoto ya kujiajiri

Na sio brela tu hata taasisi nyingine mfano TRA ukiende kuuliza Jambo ukamkuta mtu Fulani atakupa maelekezo Fulani Jambo hili Hilo ukiuliza Tena kwa mwingine Hali hapo atakupa maelekezo mengine tofauto na yule same tafuta mwingine wa hapo hapo uliza tena lile lile Jambo pia utapewa jibu tofauti kabisa na majibu ya awali

Sasa huwa najiuliza Wana matattizo gani au ndo ile kaa darasani kariri hiki Kisha nenda kazini na wakifika wanafanya kazi ilimradi mshahara usome au vipi?

Serikali iingilie Kati wanatukatishatamaa Sana ndio Mana nchi inabaki chini miaka nenda Rudi halafu mnasema vijana wavivu.

Sent from my TECNO KD6a using JamiiForums mobile app
 
Na kwa Tabia za kitanzania na mifumo yake amini usiamini Hadi tamati ya mitano tena,tutawapoteza wengi,na hakuna anayejali zaidi ya kuangalia chanzo kipya cha mapato.

Laiti viongizi wangejua hapo ndipo kwenye maendeleo
Ila siwezi shangaa
Miaka ya nyuma nilisikia muwekezaji toka nje anaulizwa hela zote hizi umepata wapi?
Walipomzingua akaenda zake Zambia
Hizi tamaa zinarudisha sana vitu vya muhimu
Mtu anaangalia tumbo lake tu
 
Nimesoma kwa masikitiko taarifa iliyoandikwa humu ikituhumu wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuwa inakimbiza wawekezaji. Kimsingi, taarifa hiyo ukiisoma utaona imejaa porojo, majungu, umbea na unafiki.

Nalazimika kusema hivyo kwasababu BRELA imekuwa mkombozi mkubwa kwa wafanyabiashara hasa makampuni ya uwekezaji kwa kupata usajili wa haraka hasa baada ya kuboresha huduma zake kwa njia ya mtandao.

Malalamiko mengi yaliyoandikwa yamejikita kukosoa BRELA na sio kujenga. Hatua ya mwandishi kuambiwa kurekebisha taarifa zako ili upate usajili, ni vema kabla huja-submit kwanza ukamshirikisha mtu ambaye amewahi kutumia huduma hiyo na hii itakusaidia wewe kuepuka usumbufu kama huo.

Kiukweli BRELA tukiacha majungu ya kwenye mitandao imerahisisha sana huduma za usajili wa makampuni tofauti na hapo awali ni jambo la kuipongeza serikali chini ya mkurugenzi wake GODFREY NYAISA.

Mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Mkurugenzi Nyaisa yamekuwa na Afya kubwa katika Taasisi hiyo na wale waliozoea vya kunyonga hawakufurahia mabadiliko hayo ndo maana wanapiga Majungu mitandaoni.

Ukizingatia huko nyuma kulikuwa na kundi la wafanyakazi waliokuwa na urasimu kwenye usajili mpaka iwapatie kitu kidogo ndo upate usajili sasa wote wameng'olewa wanapiga miayo mitaani.

Mkurugenzi Nyaisa ameiwezesha BRELA kuwa ya mfani kwa Jengo la kisasa litakalowezesha kuwepo na one stop center itakayorahisisha utoaji wa huduma mbalimbali hivyo anastahili kupongezwa.

Kiukweli ni kwamba wanaoipaka Matope BRELA hawana Hata kampuni ya kusambaza nyanya kwenye hoteli, lazima tuwe wazalendo na kampuni zetu kwa maslahi ya nchi yetu.

=======

BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI​

Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241

Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa.

Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela atakubaliana nami.

Ni hivi, unakamilisha docmnts na kusubmit online Brela. Unasubiri majib na baada ya muda unajibiwa ufanye marekebisho(Additional Information/correction is required.....,).

Unafanya marekebisho yote uliyoelekezwa na unasubmit upya. Baada ya siku au siku mbili dcmnt zinarejeshwa tena kuwa ufanye tena marekebisho(Additional Information/correction is required......).

Kinachouma sana na kukera sana ni kwamba haya marekebisho unayoambiwa ufanye kwa hii mara ya pili ni MAPYA. Kwa maana dcmnt zilivyorejeshwa mara ya kwanza hayakuwa matatizo ila mara ya pili yameonekana ni matatizo.

Unarekebisha mara ya pili na kusubmit tena. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.....,).

Haya ya mara ya tatu nayo unakuta ni MAPYA. Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili yameonwa mara ya tatu.

Unarekebisha tena na kusubmit. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required......,).

Haya ya mara ya nne nayo ni marekebisho MAPYA.
Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili, hayakuona uliporudishwa mara ya tatu, sasa yameonwa mara ya nne.

Mchezo unaendelea hivyo mpaka mwezi au zaidi. Halafu unasikia Mtendaji Mkuu wa Brela inaiambia Serikali, Dunia, na Wawekezaji kuwa sasa Tanzania Brela inasajili Kampuni na Biashara ndani ya saa 24. Ni aibu sana.

Hoja sio kwamba marekebisho yasifanywe ama usajili ufanyike bila sifa kutimia, Laa hasha.

Hoja ni kwamba, huyu anayesoma dcmnt na kuzirejesha anashindwaje kupitia dcmnt nzima yote kwa umakini, akaorodhesha yoooote yanayotakiwa kufanyiwa marekebisho, ukairudisha ili yote yafanyike kwa pamoja.

Inakuwaje marekebisho yasionwe dcmnt ziliporudishwa mara ya kwanza yaje kuonwa mara ya pili na ya tatu na kuendelea.

Na bora ingekuwa kwamba kile ulichoambiwa kurekebisha umekirekebisha vibaya kwahiyo unatakiwa ukirekebishe vizuri zaidi, hapana. Hiki ulichoambiwa kurekebisha kinaachwa kwa maana kuwa umekirekebisha vizur unaletewa kipya kabisa ambacho hakikuwa kimeonwa mara ya kwanza, ama ya pili, ama ya tatu. Ni kero, usumbufu, na aibu kwa watendaji.

Msichojua ni kwamba wengi wanaosajili Makampuni na biashara ni Wawekezaji.

Anakuja mwekezaji kutoka nje unamuhakikishia kuwa ndani ya siku moja,mbili,tatu utakuwa umemsajilia Kampuni. Anasubiri siku, wiki, wiki mbili, tatu, mwezi mwezi na zaidi hakuna kitu.

Mimi kama Wakili, ama mtu mwingine aliyepewa kazi ya kusajili siwezi kukubali kuaibika kwa mteja wangu. Nitamwita, nitamuonesha majibu ya Brela kwenye system. Nitamuonesha marekebisho mapya ambayo hayakuwa yameletwa mwanzoni yanavyoletwa kila baada ya siku mbili au wiki.

Ataelewa kosa sio langu ni la BRELA. Ataondoka sababu hawez kusubiri zaidi anaingia gharama kubwa za Malazi. Ataenda kufungua Kampuni Rwanda au Kenya ambako kwa dhati yake kampuni inasajiliwa ndani au chini ya Saa 24. Hivi ndivyo tunavyopoteza wawekezaji kupitia Brela.

Lakini ni kero zaidi sababu kila marekebisho yanahitaji wanahisa ama wakurugenzi wasaini. Utawaita kusaini mara ngapi. Na vipi kama walisaini wakaondoka na kwenda mbali.

Kuna mda unawaza labda pengine aliyepitia kazi mara ya kwanza siye aliyeipitia mara ya pili, na siye aliyepitia mara ya tatu, pengine ndo maana kila mtu ametaka marekebisho yake tofauti.

Kama ndivyo, basi hiki ndicho kirusi chenyewe. Ina maana Brela haina STANDARD moja ya kazi kiasi kwamba kila mtu ana marekebisho yake. Yaani marekebisho sio STANDARD bali mtazamo wa mtendaji. Utumishi wa hovyo na wa Kijima kabisa.

Inakuwaje jambo ambalo jana mtendaji fulani alipitia na kuliona sio la marekebisho, mtendaji aliepitia leo akaona ni la marekebisho, na mwingine anayepitia kesho kutwa akaona jingine ambalo wa jana hakuona, na mwingine wa mtondogoo akaona jingine ambalo wa juzi hakuona, hivyo na hivyo na kuendelea. Wallah kazi haziwezi kufanyika hivyo. Huu ni mchezo na masihala.

Au mpaka mtu amuone mtu, ujinga mtupu. Waulizeni wadau wa usajili hasa Mawakili na Wanasheria kama hiki nilichoeleza ni tatizo ama hapana mtapata majawabu.

Tunataka mtu akisubmit kazi, mtendaji anayeshika hiyo kazi aipitie kwa umakini na kuainisha marekebisho yooote lwa pamoja(kama yapo), na asiache hata moja.

Kisha arejeshe hiyo kazi ili yafanyiwe marekebisho na mhusika. Kama yamerekebishwa vizur mpatie Certificate. Kama sio mrejeshee tena yale yale yamaliziwe na sio umletee mapya.

Ukileta mapya tafsiri yake ni kwamba ile mara ya kwanza hukupitia kwa umakini. Ulizembea na hiki ndicho tunachopinga kwa nguvu zote. Kampuni itachukua mwezi na zaidi kusajiliwa.

Pengine hamjui umuhimu wenu katika Uwekezaji Tanzania. Ni hivi, Brela ndio mlango ama hodi ya uwekezaji. Sababu mwekezaji hawezi kwenda hata TIC au Immigration kama hana certificate ya Brela. Mwekezaji lazima aanzie Brela kwanza ndo aende kwingine.

TAFADHALI Brela Acheni Kukimbiza Wawekezaji.

IMG-20210124-WA0020.jpg
 
Mleta Uzi,

Ni kwamba hujielewi au Mgumu kuelewa vitu rahisi?

Kwa mtirirko wa hoja za huyu uliemuita 'Mpaka matope' kama ulivyoambatanisha malalamiko yake;
Unahitaji kuwa na matatizo makubwa kutokuelewa.

Rudia kusoma aliyoyalalamikia kwa sauti na pekeyako.
 
Any person or company which want to grow lazima uchukulie changamoto km oppotunity to improve and to grow..
Ukishaanza kuchukulia changamoto km Majungu in a defensive way then ukawa una counter attack km mtoa hoja then lazima somehow, somewhere, something is wrong.
 
Inaonekana kujibu kwa kumfuraisha bosi wako kama upitaka kumsaidia ungejikita kwenye hoja zilizotolewa na namna gani mtazitatua.
 
Mleta mada wewe ndio mwenye majungu.

Mwenzio Bashir kaweka jina lake na namba ya simu akimaanisha yeye hafichi kitu and he is responsible for what he wrote.
Wewe umejificha nyuma ya keyboard na id fake kuonyesha kwamba uoga.
 
Mbon Bwana wakili kaeleza vizuri ,mimi nimekutana nayo sana mambo ya correction is required ,Yanaweza ibuka mapya kila siku ,na mtu unuzoefu aw usajili . Yaani brela wajibu hoja ,waweke sehemu ya malalamiko humu kam wenzao tanesco,ttcl n wengine
 
Mleta maada wewe ni kimeo na kama kuna sehemu umeajiriwa basi ndio maana nchi haiendelei kwa kua na watu kama wewe, ningekua Rais ningetunga sheria watu kama nyie mlitakiwa muwe na bucha muuzwe kama kitoweo
 
Aliyefanya utetezi wa kuitetea BRELA ni mpuuzi na pengine ni mfanyakazi kila.za anayenufaika na udhaifu wa BRELA.

Mimi nina miezi 11 (tangu mwaka jana hadi sasa) nahuisha taarifa BRELA .Kazi ya kukamilisha siku moja unachukua Mwaka!

Wamenifanyia assessment nimewalipa Tshs.1.5 milioni na wakaniomba ni- upload Pay in Slip na nimefanya hivyo!

Wameanza tena kuomba nyaraka nilizokwisha watumia mwanzo ,NCHI HII kuna watu wapuuzi sana kama hawa walioko BRELA wanakera saaaaaaaana!

Akili ya kijinga sana watu tunataka huduma bora yeye anatuonyesha GHOROFA analojenga!

Huyo Godfrey Nyaisa hajui chochote zaidi ya kuiaibisha BRELA kitaifa na kimataifa.

Tatizo la kuokoteza ma- CEO kwa kudhani kila mtu anaweza kufanya kila kitu!
Mtu anaweza kuwa Auditor mzuri tu pale BOT lakini kuendesha Taasisi nyeti kama BRELA inahitaji experience ya kutosha!
 
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI.

Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241

Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa.

Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela atakubaliana nami.

Ni hivi, unakamilisha docmnts na kusubmit online Brela. Unasubiri majib na baada ya muda unajibiwa ufanye marekebisho(Additional Information/correction is required.

Unafanya marekebisho yote uliyoelekezwa na unasubmit upya. Baada ya siku au siku mbili dcmnt zinarejeshwa tena kuwa ufanye tena marekebisho(Additional Information/correction is required.

Kinachouma sana na kukera sana ni kwamba haya marekebisho unayoambiwa ufanye kwa hii mara ya pili ni MAPYA. Kwa maana dcmnt zilivyorejeshwa mara ya kwanza hayakuwa matatizo ila mara ya pili yameonekana ni matatizo.

Unarekebisha mara ya pili na kusubmit tena. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.

Haya ya mara ya tatu nayo unakuta ni MAPYA. Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili yameonwa mara ya tatu.

Unarekebisha tena na kusubmit. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.

Haya ya mara ya nne nayo ni marekebisho MAPYA.
Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili, hayakuona uliporudishwa mara ya tatu, sasa yameonwa mara ya nne.

Mchezo unaendelea hivyo mpaka mwezi au zaidi. Halafu unasikia Mtendaji Mkuu wa Brela inaiambia Serikali, Dunia, na Wawekezaji kuwa sasa Tanzania Brela inasajili Kampuni na Biashara ndani ya saa 24. Ni aibu sana.

Hoja sio kwamba marekebisho yasifanywe ama usajili ufanyike bila sifa kutimia, Laa hasha.

Hoja ni kwamba, huyu anayesoma dcmnt na kuzirejesha anashindwaje kupitia dcmnt nzima yote kwa umakini, akaorodhesha yoooote yanayotakiwa kufanyiwa marekebisho, ukairudisha ili yote yafanyike kwa pamoja.

Inakuwaje marekebisho yasionwe dcmnt ziliporudishwa mara ya kwanza yaje kuonwa mara ya pili na ya tatu na kuendelea.

Na bora ingekuwa kwamba kile ulichoambiwa kurekebisha umekirekebisha vibaya kwahiyo unatakiwa ukirekebishe vizuri zaidi, hapana. Hiki ulichoambiwa kurekebisha kinaachwa kwa maana kuwa umekirekebisha vizur unaletewa kipya kabisa ambacho hakikuwa kimeonwa mara ya kwanza, ama ya pili, ama ya tatu. Ni kero, usumbufu, na aibu kwa watendaji.

Msichojua ni kwamba wengi wanaosajili Makampuni na biashara ni Wawekezaji.

Anakuja mwekezaji kutoka nje unamuhakikishia kuwa ndani ya siku moja,mbili,tatu utakuwa umemsajilia Kampuni. Anasubiri siku, wiki, wiki mbili, tatu, mwezi mwezi na zaidi hakuna kitu.

Mimi kama Wakili, ama mtu mwingine aliyepewa kazi ya kusajili siwezi kukubali kuaibika kwa mteja wangu. Nitamwita, nitamuonesha majibu ya Brela kwenye system. Nitamuonesha marekebisho mapya ambayo hayakuwa yameletwa mwanzoni yanavyoletwa kila baada ya siku mbili au wiki.

Ataelewa kosa sio langu ni la BRELA. Ataondoka sababu hawez kusubiri zaidi anaingia gharama kubwa za Malazi. Ataenda kufungua Kampuni Rwanda au Kenya ambako kwa dhati yake kampuni inasajiliwa ndani au chini ya Saa 24. Hivi ndivyo tunavyopoteza wawekezaji kupitia Brela.

Lakini ni kero zaidi sababu kila marekebisho yanahitaji wanahisa ama wakurugenzi wasaini. Utawaita kusaini mara ngapi. Na vipi kama walisaini wakaondoka na kwenda mbali.

Kuna mda unawaza labda pengine aliyepitia kazi mara ya kwanza siye aliyeipitia mara ya pili, na siye aliyepitia mara ya tatu, pengine ndo maana kila mtu ametaka marekebisho yake tofauti.

Kama ndivyo, basi hiki ndicho kirusi chenyewe. Ina maana Brela haina STANDARD moja ya kazi kiasi kwamba kila mtu ana marekebisho yake. Yaani marekebisho sio STANDARD bali mtazamo wa mtendaji. Utumishi wa hovyo na wa Kijima kabisa.

Inakuwaje jambo ambalo jana mtendaji fulani alipitia na kuliona sio la marekebisho, mtendaji aliepitia leo akaona ni la marekebisho, na mwingine anayepitia kesho kutwa akaona jingine ambalo wa jana hakuona, na mwingine wa mtondogoo akaona jingine ambalo wa juzi hakuona, hivyo na hivyo na kuendelea. Wallah kazi haziwezi kufanyika hivyo. Huu ni mchezo na masihala.

Au mpaka mtu amuone mtu, ujinga mtupu. Waulizeni wadau wa usajili hasa Mawakili na Wanasheria kama hiki nilichoeleza ni tatizo ama hapana mtapata majawabu.

Tunataka mtu akisubmit kazi, mtendaji anayeshika hiyo kazi aipitie kwa umakini na kuainisha marekebisho yooote lwa pamoja(kama yapo), na asiache hata moja.

Kisha arejeshe hiyo kazi ili yafanyiwe marekebisho na mhusika. Kama yamerekebishwa vizur mpatie Certificate. Kama sio mrejeshee tena yale yale yamaliziwe na sio umletee mapya.

Ukileta mapya tafsiri yake ni kwamba ile mara ya kwanza hukupitia kwa umakini. Ulizembea na hiki ndicho tunachopinga kwa nguvu zote. Kampuni itachukua mwezi na zaidi kusajiliwa.

Pengine hamjui umuhimu wenu katika Uwekezaji Tanzania. Ni hivi, Brela ndio mlango ama hodi ya uwekezaji. Sababu mwekezaji hawezi kwenda hata TIC au Immigration kama hana certificate ya Brela. Mwekezaji lazima aanzie Brela kwanza ndo aende kwingine.

TAFADHALI Brela Acheni Kukimbiza Wawekezaji.

Zaidi, soma: BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

Pia soma >Ufafanuzi juu ya madai ya BRELA kukimbiza wawekezaji

Tulishasema tukapigwa madongo! Mimi nipo Texas kuna kampuni za aina mbili Assume Name ni zile ambazo zina mmiliki mmoja au partnership mfano wewe na mke wako au advocates office ambayo mnaweza kuwa wachache. Hii ni kwamba haina cha mambo ya share na bodi mfungaji wa kampuni ndiye mlipa kodi au unaweza kuchukua Tax number. Hii ni $20 unapata kwa siku moja (Jina la kampuni, unapoishi na kitambulisho). Pili kuna Corporations kama LLC ndiyo zinachukua muda zaidi kidogo lakini utaratibu sio mgumu. Mimi naona tatizo hao Brela wamechanganya hizi! ndiyo maana wanapata shida
 
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI.

Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241

Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa.

Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela atakubaliana nami.

Ni hivi, unakamilisha docmnts na kusubmit online Brela. Unasubiri majib na baada ya muda unajibiwa ufanye marekebisho(Additional Information/correction is required.

Unafanya marekebisho yote uliyoelekezwa na unasubmit upya. Baada ya siku au siku mbili dcmnt zinarejeshwa tena kuwa ufanye tena marekebisho(Additional Information/correction is required.

Kinachouma sana na kukera sana ni kwamba haya marekebisho unayoambiwa ufanye kwa hii mara ya pili ni MAPYA. Kwa maana dcmnt zilivyorejeshwa mara ya kwanza hayakuwa matatizo ila mara ya pili yameonekana ni matatizo.

Unarekebisha mara ya pili na kusubmit tena. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.

Haya ya mara ya tatu nayo unakuta ni MAPYA. Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili yameonwa mara ya tatu.

Unarekebisha tena na kusubmit. Unasubiri tena siku ama siku mbili au zaidi. Inarudishwa tena ikihitaji marekebisho(Additional Information/correction is required.

Haya ya mara ya nne nayo ni marekebisho MAPYA.
Maana yake hayakuonwa uliporudishwa mara ya kwanza, hayakuona uliporudishwa mara ya pili, hayakuona uliporudishwa mara ya tatu, sasa yameonwa mara ya nne.

Mchezo unaendelea hivyo mpaka mwezi au zaidi. Halafu unasikia Mtendaji Mkuu wa Brela inaiambia Serikali, Dunia, na Wawekezaji kuwa sasa Tanzania Brela inasajili Kampuni na Biashara ndani ya saa 24. Ni aibu sana.

Hoja sio kwamba marekebisho yasifanywe ama usajili ufanyike bila sifa kutimia, Laa hasha.

Hoja ni kwamba, huyu anayesoma dcmnt na kuzirejesha anashindwaje kupitia dcmnt nzima yote kwa umakini, akaorodhesha yoooote yanayotakiwa kufanyiwa marekebisho, ukairudisha ili yote yafanyike kwa pamoja.

Inakuwaje marekebisho yasionwe dcmnt ziliporudishwa mara ya kwanza yaje kuonwa mara ya pili na ya tatu na kuendelea.

Na bora ingekuwa kwamba kile ulichoambiwa kurekebisha umekirekebisha vibaya kwahiyo unatakiwa ukirekebishe vizuri zaidi, hapana. Hiki ulichoambiwa kurekebisha kinaachwa kwa maana kuwa umekirekebisha vizur unaletewa kipya kabisa ambacho hakikuwa kimeonwa mara ya kwanza, ama ya pili, ama ya tatu. Ni kero, usumbufu, na aibu kwa watendaji.

Msichojua ni kwamba wengi wanaosajili Makampuni na biashara ni Wawekezaji.

Anakuja mwekezaji kutoka nje unamuhakikishia kuwa ndani ya siku moja,mbili,tatu utakuwa umemsajilia Kampuni. Anasubiri siku, wiki, wiki mbili, tatu, mwezi mwezi na zaidi hakuna kitu.

Mimi kama Wakili, ama mtu mwingine aliyepewa kazi ya kusajili siwezi kukubali kuaibika kwa mteja wangu. Nitamwita, nitamuonesha majibu ya Brela kwenye system. Nitamuonesha marekebisho mapya ambayo hayakuwa yameletwa mwanzoni yanavyoletwa kila baada ya siku mbili au wiki.

Ataelewa kosa sio langu ni la BRELA. Ataondoka sababu hawez kusubiri zaidi anaingia gharama kubwa za Malazi. Ataenda kufungua Kampuni Rwanda au Kenya ambako kwa dhati yake kampuni inasajiliwa ndani au chini ya Saa 24. Hivi ndivyo tunavyopoteza wawekezaji kupitia Brela.

Lakini ni kero zaidi sababu kila marekebisho yanahitaji wanahisa ama wakurugenzi wasaini. Utawaita kusaini mara ngapi. Na vipi kama walisaini wakaondoka na kwenda mbali.

Kuna mda unawaza labda pengine aliyepitia kazi mara ya kwanza siye aliyeipitia mara ya pili, na siye aliyepitia mara ya tatu, pengine ndo maana kila mtu ametaka marekebisho yake tofauti.

Kama ndivyo, basi hiki ndicho kirusi chenyewe. Ina maana Brela haina STANDARD moja ya kazi kiasi kwamba kila mtu ana marekebisho yake. Yaani marekebisho sio STANDARD bali mtazamo wa mtendaji. Utumishi wa hovyo na wa Kijima kabisa.

Inakuwaje jambo ambalo jana mtendaji fulani alipitia na kuliona sio la marekebisho, mtendaji aliepitia leo akaona ni la marekebisho, na mwingine anayepitia kesho kutwa akaona jingine ambalo wa jana hakuona, na mwingine wa mtondogoo akaona jingine ambalo wa juzi hakuona, hivyo na hivyo na kuendelea. Wallah kazi haziwezi kufanyika hivyo. Huu ni mchezo na masihala.

Au mpaka mtu amuone mtu, ujinga mtupu. Waulizeni wadau wa usajili hasa Mawakili na Wanasheria kama hiki nilichoeleza ni tatizo ama hapana mtapata majawabu.

Tunataka mtu akisubmit kazi, mtendaji anayeshika hiyo kazi aipitie kwa umakini na kuainisha marekebisho yooote lwa pamoja(kama yapo), na asiache hata moja.

Kisha arejeshe hiyo kazi ili yafanyiwe marekebisho na mhusika. Kama yamerekebishwa vizur mpatie Certificate. Kama sio mrejeshee tena yale yale yamaliziwe na sio umletee mapya.

Ukileta mapya tafsiri yake ni kwamba ile mara ya kwanza hukupitia kwa umakini. Ulizembea na hiki ndicho tunachopinga kwa nguvu zote. Kampuni itachukua mwezi na zaidi kusajiliwa.

Pengine hamjui umuhimu wenu katika Uwekezaji Tanzania. Ni hivi, Brela ndio mlango ama hodi ya uwekezaji. Sababu mwekezaji hawezi kwenda hata TIC au Immigration kama hana certificate ya Brela. Mwekezaji lazima aanzie Brela kwanza ndo aende kwingine.

TAFADHALI Brela Acheni Kukimbiza Wawekezaji.

Zaidi, soma: BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

Pia soma >Ufafanuzi juu ya madai ya BRELA kukimbiza wawekezaji
Nimekutana na hii changamoto. Nikawa najiuliza.... Baada ya kufanya marekebisho.... Registration inatoka baada ya muda gani?? @brela hawapo hapa ndani kujibu haya maswali tuliyonayo??
 
Mbon Bwana wakili kaeleza vizuri ,mimi nimekutana nayo sana mambo ya correction is required ,Yanaweza ibuka mapya kila siku ,na mtu unuzoefu aw usajili . Yaani brela wajibu hoja ,waweke sehemu ya malalamiko humu kam wenzao tanesco,ttcl n wengine
@Brela tunawaomba muwe na verified account hapa Jamii Forums kuweza ku-adderss changamoto tunazokutana nazo sisi wateja wenu. Tunajua hizi nyuzi mnazosoma kimya kimya.... Tunaomba Sana.
 
Back
Top Bottom