tunamsubiri Morinhno na Wayne Rooney Chelsea wavae blue
Hujapotea mpenzi....ni kama nimepotea njia hivi.
Hujapotea mpenzi....
utasutwa bure,
shaurizo mie sipo
Yaani kutoka kidogo tu jamaa wameshachukuwa mali yangu...!!umekuja tena na maneno yako ya kisaniii
unakumbuka ulivyosambaratisha ndoa yangu ya zamani
halafu ukapanda juu ya mti ukawa unanitazama
ulifanikiwa pale pale.
Mr Rocky anajua tabia yangu
hata msemeje hatuachani kamwe.
Yaani kutoka kidogo tu jamaa wameshakuwa mali yangu...!!
Ha ha h ahaaah!! Sawa lakini siachii mali yangu kuchukuliwa kirahisi namna hii lazima nifanye mambo...eti wewe ulikuwa unatafunia magego
kwa maneno mengine eti hauna meno.
Ha ha h ahaaah!! Sawa lakini siachii mali yangu kuchukuliwa kirahisi namna hii lazima nifanye mambo...