BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
BADILI TABIA
Nikuje na mabegi yangu? huyu landlodi kaongeza kodi imekuwa balaa apa
Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.
Waweza nambia ulifanya juhudi gani kunitafuta mwali wangu. Hivi si wajua nafasi yako moyoni mwangu haizibwi na yeyote awaye yote?Shkamoo babu! Nimekumissije babu yangu... :hug:
BADILI TABIASi tu mabegi klorokwini beba hadi vijiko njoo navyo.....na limoyo langu lote lipo mikononi mwako, nitakulea utakabyo loh
Nicas Mtei
Usiniandaestimeti, faza wangu wa kambo anatokea sumbawanga na deili anakwenda shoping dubei na taiwan kwa ungo
Waweza rudia hii yuziful post kwa kiinglish? Kuna midubwashika imeishia std foo ina wivu staki ijue umenambia nini.... Yu knoo woram seyyingg beibii?Asprin
Halafu switihati lotion wangu umepotelea wapi? Konnie kakuficha? Ujue mie sili silali nakuwaza wewe
fellow tablet umekiuka miiko ya collective aggreement ya famasi za madawa ya magonjwa ya kinamama.Waswahili bana! mimi niliwaaambia fello tablet kapata viza ya ukraine wao wakavumisha eti amekamatwa ana kesi ya kuiba magunia ya korosho mpaka wa burundi.
fellow tablet umekiuka miiko ya collective aggreement ya famasi za madawa ya magonjwa ya kinamama.
Nalazimika kulog off mpaka utakapomleta Mwali huku martenity ward nimfanyie ukaguzi wa saratani ya andawea.
NIseme tu ukweli babu sijakkutafuta popoteWaweza nambia ulifanya juhudi gani kunitafuta mwali wangu. Hivi si wajua nafasi yako moyoni mwangu haizibwi na yeyote awaye yote?
WTF??? Babu mi nilisha kwambia sitaki kukaguliwafellow tablet umekiuka miiko ya collective aggreement ya famasi za madawa ya magonjwa ya kinamama.
Nalazimika kulog off mpaka utakapomleta Mwali huku martenity ward nimfanyie ukaguzi wa saratani ya andawea.
Sasa ndio akaona aje achafue majina ya wenzie jf lol.
Mie mzima swahiba wewe je?
Nshakwambiaga sipendagi mashkamo yako. Yananinyima apetait ya kunaniliu afu nawe ulivo mlafi kila mara walalama sijakufikisha Kibo. Hayo maji umeweka nini? Nimelimis limbwata lako.
Nshakwambiaga sipendagi mashkamo yako. Yananinyima apetait ya kunaniliu afu nawe ulivo mlafi kila mara walalama sijakufikisha Kibo. Hayo maji umeweka nini? Nimelimis limbwata lako.
asee makubwa, SL Nimekumiss kweli, si mchezo!
namwona Swahiba wako apo ananichungulia...mwambie tabia mbaya