klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
heheh naelewa aisee! reading your recent posts, I can read you' through' you'. si unajua lawyer hakosei spelling?Hahahaha. . .Loya achana na lile bepari. . .halina zaidi ya chokochoko. Ila we kama unataka nikutafutie mwalimu wako na wewe. . . . .
Mbona husemi hao walioishia bedroom ni wewe na naniliii?
Fellow tablet aspirin mpaka mala ya mwisho kuonana nae kumbukumbu inaniambia anaondoka na kilo 2 ya ugali na kabeji tatu zillochanganywa na mifupa ya digidigi. Hapo ni brekfast tu
Jiandae mama, kumlea fellow tablet ni zaidi ya jihadi
Habari tulizozipata sasa hivi kwenye chumba chetu cha habari zinasema jana usiku kwenye mkesha wa muungano kapos zifuatazo zili organize come together ili wabadilishane mawazo na kufahamiana kwa ukaribu.Kutokana na kukolea kinywaji ( hasa jak daniel) ikaanza kutokea sintofahamu ya nani belongs to whom,matokeo yake watu wakaanza kubusiana kiholela na ngumi kufumuka.
Anyways to put the story short kapo zifuatazo jana zimeachana rasmi:
rejao/canta (canta karudi kwao kwa mzee mtambuzi)
nitty/SL (SL angalau kaambulia mimba)
michelle/HC (hawa walishaachana kabla jana lilikuwa hitimisho tu)
TF/Husninyo (it was inevitable hata kama sio party)
Aspirin/kongosho( hata hivyo konnie alishaanza kumdharau Aspirin kisa kaishiwa)
st ivuga/mwali (too sad,mwali mikono juu busy wailing,ivuga kaonekana mchana huu mlimani city na ninliyu...)
Taarifa za kiintelijensia zinasema mchana huu ba'nchuchu kaonekana kwa kwa babu DC akitafuta msaada wa kisaikolojia ,i don't know kimemkuta nini,ila ana bendeji kubwa jicho la kushoto.
Ya kiwanda cha usagaji nafaka ltd chichemi,ni makubwa ingawa naye alikuwepo.
We Byshanga embu acha kuchokonoa yasokuhusu. . .
Hata nikiachika siji kwako ujue!!
Nifundishe na lile somo jengine basi....... sema pole pole jamaa asiskie
No, you didn't! Mi hata sijui uko wapi sasa hiviMwali usiwasikilize hao wanataka kutuharibia mapenzi yetu motomoto unajua nilipokuwa kwani nilikuaga
aisee nilikuwa nakutafuta sana nataka umshushe jamaa mmoja hizi busha ..anajifanya yeye kidume sana najua utanifanyia discount kubwa
Mwali usiwasikilize hao wanataka kutuharibia mapenzi yetu motomoto unajua nilipokuwa kwani nilikuaga
Tena kipindi hiki nina hasira za ajabu, umeomba busha tu lakini jamaa nampa na bonus ya kumtoa jipu la kwapa. Nyambaaf zake, leta jina lake haraka sana nimalizie hasira zangu kwake.
Hahahaha. Angalia zcje zkakurudia wewe klorokwini
Usiingilii, Deskmate wangu. tuongee mengineNicas Mtei
Usiniandaestimeti, faza wangu wa kambo anatokea sumbawanga na deili anakwenda shoping dubei na taiwan kwa ungo
BADILI TABIAHalafu wewe ndo nilikuwa nakutafuta, njoo una nafasi uvunguni mwa mouo wangu
Shkamoo babu! Nimekumissije babu yangu... :hug:Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.
Waswahili bana! mimi niliwaaambia fello tablet kapata viza ya ukraine wao wakavumisha eti amekamatwa ana kesi ya kuiba magunia ya korosho mpaka wa burundi.Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.