Breaking news Kanisa la Wasabato Kenya lawatimua kazi Wachungaji 19 kwa madai ya kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ikiwamo Utatu Mtakatifu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day Adventist (SDA) Church in Nakuru has terminated 19 pastors following allegations of misconduct and the creation of an unauthorised organisation. The Nakuru-based SDA Central Rift Valley Conference (CRVC) accused the pastors of allegedly defying church doctrine and the official church manual by aligning themselves with a parallel entity. #starkenyanews
 
Wasabato ni ANTICHRIST. Yesu Kristo alipoagiza watu wabatizwe kwa jina la Baba, MWANA na ROHO Mtakatifu kwani huo sio UTATU MTAKATIFU? Ni upumbavu kudhani kila mapokeo hayampendezi Mungu.
 
Hao wachungaji waliofukuzwa wapo sahihi
niliachana na usabato na dini kwa mambo km hayo

Haiwezekani yesu akawa mwana na wakati huo huo akawa mungu
Which is which?
Na kuna muda yesu anakataa waziwazi yeye sio mungu

Ila mapimbi ya imani yanalazimisha awe mungu
Nikasepa church baada kuiona nuru na siji kurudi tena!
 
Kwasababu huna elimi
 
Habari za Mungu always zina Logical contradictions ndio maana kila kukicha zinaleta migongano na sintofahamu baina ya waumini.

Ukiondoa contradictions hizo, Utajua kwamba Hakuna Mungu.

Mungu ni hadithi za kutengenezwa na wahuni wa kale. Ndio maana zina contradictions nyingi sana.
 
accused the pastors of allegedly defying church doctrine and the official church manual by aligning themselves with a parallel entity.
Mboni hapa wamesema. Tofauti na ulivyosema wewe kwa kiswahili? Hapa inamaanisha wanafuata mafunzo ya utatu kule unasema wanakataa, how and where does this contradiction come from?
 
Nilipoleta huu 👇 kuhusu kile wasabato walichonifanyia mlisema chai. Haya!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…