Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
Mmmh! Mi mgeni napita tu! Baadaye.
naona unatumia kila mbinu ili niwe katika himaya yako na kwa taarifa yako simuachi Arushaone ng'o... No matter what...!!!!!!
Sasa wewe Lady doctor tunaweza sema maneno ya Bishanga yana ukweli
We ndoa jana tuu leo washinda kwenye mtandao wachat wakati hapa ulipaswa uwe chumbani huko wamalizana na Arushaone
Kama ni kweli ndoa imekubali kimbia haraka chumbani huko kakae na Arushaone
Afadhali dada umezungumza maana, nilishaomba ufafanuzi...Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!
Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.
I LOVE U SO MUCH Arushaone
Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo
Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!
Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.
I LOVE U SO MUCH Arushaone
Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo
Afadhali dada umezungumza maana, nilishaomba ufafanuzi...
Mama yangu eeeh. Hamuulizi ndo tatizo lenu. Mumeoana jana tu leo uko kwenye mbao za matangazo. Pole mwaya.
duh tajiri alifanyeje eti??
Ila haukufanya ulichosema.
mi naona Bishanga na Ruttashobolwa
wana lao jambo hakiyanani,pacha wapotezee