Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
- Thread starter
- #121
sosoliso sasa Lady doctor alikuwa anabisha nini wakati ushahidi dhahiri huu hapa.View attachment 101325
Kasheshe ilianzia hapa Bishanga.. Arushaone alijipapasa hakuona kitu.. Lady doctor alivyogeuka na kumuuliza nini Arushaone akajifanya ati alikuwa anafunga zipu lol.. Masikini angejua angetoka nduki hapa.. Watu wasingejua kama kifanyio chake kimefyekwa..
Last edited by a moderator: