breaking news.....just in

breaking news.....just in

Last edited by a moderator:
Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!

Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.

I LOVE U SO MUCH Arushaone

Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo

Lady doctor naona umeamua kuwa al saaf,unamkumbuka al saaf ? Mibomu inalia baghdad yeye anasema mmarekani hawezi kukanyaga hapa........mficha maradhi?
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor naona umeamua kuwa al saaf,unamkumbuka al saaf ? Mibomu inalia baghdad yeye anasema mmarekani hawezi kukanyaga hapa........mficha maradhi?

naona unatumia kila mbinu ili niwe katika himaya yako na kwa taarifa yako simuachi Arushaone ng'o... No matter what...!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!

Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.

I LOVE U SO MUCH Arushaone

Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo

Safi sana... Madame B, snowhite, cacico, mwaJ, gfsonwin, Zinduna na Msuto co. ltd njooni.... Bishanga amerudia tena.. ngoma ya kilugwai inamhusu tena this time avishwe sijui mnaitwa dila na mtandio apgwe lipstick asutwe afu acheze kibao kata mchana wa saanane mtaa wa kongo.
Kutoka kwa MWENYEKITI...
 
Last edited by a moderator:
aaaah wapi!!!!!! Arushaone ni mwanaume wa ukweli na amekamilika haswaa hana kasoro hata kidogo... Nampendaje!!!!!!!

Mtasema usiku mtalala.... Wambea wakubwa nyie!!!!!!

Debe tupu haliachi kushinda! Kalaghabao......
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom