breaking news.....just in

breaking news.....just in

wewe una kijiba cha roho, na ndiye unayechangia kwa kiasi kikubwa humu mjengoni ndoa za cc kuvunjika, na ndiye bazazi mzoefu usiye na daawa hivyo tumekutambua kuwa wewe mchonganishi hivi hujui kuwa sweetlady na Lady doctor ni mtu na binamu yake? Baba V wala usivunje kwani hao wameshaungana hakuna mwanadamu atakayewatenganisha

bora na wewe umenena cousin, wafanye wafanyavyo ndoa yangu wala sitoivunja halafu wanataka wanichonganishe na cousin wangu sweetlady, yaani watukome na watuache kabisaa
 
Last edited by a moderator:
arushaone1.jpg

Kasheshe ilianzia hapa Bishanga.. Arushaone alijipapasa hakuona kitu.. Lady doctor alivyogeuka na kumuuliza nini Arushaone akajifanya ati alikuwa anafunga zipu lol.. Masikini angejua angetoka nduki hapa.. Watu wasingejua kama kifanyio chake kimefyekwa..
 

Attachments

  • arushaone.jpg
    arushaone.jpg
    36.7 KB · Views: 34
Last edited by a moderator:
By Elizabethdominic senior correspondent jf udaku.
Ndoa ya Arushaone na Lady doctor yavunjika usiku wa manane.
Ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na majigambo kati ya fisadi papa Arushaone na former miss temeke Lady doctor imesambaratika jumla.Ilikuwa hivi:
Baada ya kuingia chumbani baada ya shamra shamra Arushaone alianza kulia 'kulikoni?' Akaulizwa na bi harusi, 'sina kikojoleo' akajibu bwana harusi, 'what,unantania,embu vua nione', akavua kweli kuna katobo tu,' ' what happened? Akauliza Lady doctor. Ngoja nikwambie ukweli mke wangu,akasema Arushaone, ' kipindi kile nimemwacha sweetlady kwa hasira aliniendea nanjilinji matokeo yake alikuja panya akaninyofoa dushelele ndo nikabakia hivi" Kusikia hivo Lady doctor hakuwa na la ziada zaidi ya kupakia begi na kutokomea,asubuhi kaonekana ngaramtoni akiwa na Erickb52 na Nicas Mtei wanafakamia thubu.
Habari zaidi tukishamhoji Arushaone
Cc: Baba V ....futa hii ndoa kwenye daftari

Hii kitu inakuharibu ubongo wako....
images
images
 
View attachment 101325

Kasheshe ilianzia hapa Bishanga.. Arushaone alijipapasa hakuona kitu.. Lady doctor alivyogeuka na kumuuliza nini Arushaone akajifanya ati alikuwa anafunga zipu lol.. Masikini angejua angetoka nduki hapa.. Watu wasingejua kama kifanyio chake kimefyekwa..

:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Wewe uliyetoa taarifa hizo ni mmbea, mimi sikukimbia kabisaa.... na sababu hiyo uliyotajahapo juu ni uongo mtupu..!

Arushaone nilimkuta na viungo vyake vyote tena amekamilika haswaa na ameniridhisha kabisaa kamwe sijutii kuwa nae, nampenda na nitampenda daima.

I LOVE U SO MUCH Arushaone

Cc: Bishanga Chimbuvu Himidini Steven Robert Masatu Baba V Nicas Mtei Mr Rocky Slave na tedo


Jamani hapa ni nini mnakificha au ndo mnatimiza yale masharti ya kutotoa siri za ndani.
 
Back
Top Bottom