Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
- Thread starter
- #21
Mbona ni kama umefurahia sana...Au Lady doctor alikutosa..?
hata mimi nahisi hivo
Last edited by a moderator:
Mbona ni kama umefurahia sana...Au Lady doctor alikutosa..?
nikiwa kama shuhuda wa tukio ama souce kwa kiingereza.nikiwa kama mmiliki wa hotel ya kitalii waliyofikia maharusi.Terms and Condition zetu haziruhusu kutoa taarifa za wateja wetu isipokuwa kwa sababu za kiusalama.ni kweli tuliwapokea maharusi baada ya kushinda tenda.na ghafla baada ya maharusi kuingia chumbani zilisikika kelele kama za ugomvi,ndipo tukamuamuru askari wetu @st pakamweusi na muhudumu Baba V na manager wa hotel mimisa waende kujua kulikoni.ndipo tulipomuona bibi harusi na shela lake akikimbia na kuchukua tax kuondoka.na ndani alikutwa bwana harusi akilia kama mtoto.
By Elizabethdominic senior correspondent jf udaku.
Ndoa ya Arushaone na Lady doctor yavunjika usiku wa manane.
Ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na majigambo kati ya fisadi papa Arushaone na former miss temeke Lady doctor imesambaratika jumla.Ilikuwa hivi:
Baada ya kuingia chumbani baada ya shamra shamra Arushaone alianza kulia 'kulikoni?' Akaulizwa na bi harusi, 'sina kikojoleo' akajibu bwana harusi, 'what,unantania,embu vua nione', akavua kweli kuna katobo tu,' ' what happened? Akauliza Lady doctor. Ngoja nikwambie ukweli mke wangu,akasema Arushaone, ' kipindi kile nimemwacha sweetlady kwa hasira aliniendea nanjilinji matokeo yake alikuja panya akaninyofoa dushelele ndo nikabakia hivi" Kusikia hivo Lady doctor hakuwa na la ziada zaidi ya kupakia begi na kutokomea,asubuhi kaonekana ngaramtoni akiwa na Erickb52 na Nicas Mtei wanafakamia thubu.
Habari zaidi tukishamhoji Arushaone
Cc: Baba V ....futa hii ndoa kwenye daftari
Mi namshangaa Lady doctor aliapa kwa tabu na raha,ugonjwa na afya kumbe zilikuwa talalila tuTangia nimejiunga JF huu ni mwaka wa 5 sasa,hii nadhani ndo super breaking news aiseee.
Hahahahahhaahahhahhahhahhahahhahaha
Mi namshangaa Lady doctor aliapa kwa tabu na raha,ugonjwa na afya kumbe zilikuwa talalila tu
hapo hakuna fitna kama fitna si waje wakanushe ?Halafu hebu tupe sosi ya habari yako..Isije ikawa ni fitna..