Breaking News: Calabash yavamiwa na Majambazi

WALEVI WA MCHANA HAO,BIA UNAKUNYWA SAA KUMI??INASHUKA KWELI BIA USIKU TENA BIA MBILI AU TATU ZINATOSHA TATIZO MALIMBUKENI MNATAKA KUNYWA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI MPAKA SAA MBILI ASUBUHI JUMAMOSI ETI WIKEND MNAKULA BATA MPAKA KUKU AONE WIVU HAYA SEMENI NA KINA AFANDE AHMED MSANGI SASA NA LaZIMA WAWAPIGE VIWALET NA VYIM VYENU
Mkuu bar nyingi zinatoa huduma za chakula mchana hivyo si ajabu watu kwenda kujipatia chakula na soft drinks ama hata maongezi mafupi..ungekuwapo hapo sijui ungesema maneno haya?
 
Kwa taarifa nilizozipata na ku-confirm ni kwamba Majambazi kadhaa wamevamia Calabash na kuumiza watu kwa risasi, ndugu yangu ni mmoja wa watu waliojeruhiwa na sasa tunaelekea Muhimbili. More to come nikishafika eneo la tukio.

N:B: kutokana na comments za watu naomba kuweka sawa records kuwa, huyu hakupigwa risasi kwakua alikua bar anakunywa, Lah hasha alipatwa na mkasa huu kwasababu tu yuko jirani na pale na alikua katika kujitafutia riziki, si kila mtu akipatwa na tatizo bar basi alikua anakunywa.

Calabash ni Bar maarufu sana pale maeneo ya mwenge-Dar es Salaam.

Pole sana mkuu, huyo ndugu yako atakuwa anafanya kazi pale kwenye carwash! Mungu amtangulie apone vizuri.
 
Wewe ndo una set standards za starehe za watu??

WALEVI WA MCHANA HAO,BIA UNAKUNYWA SAA KUMI??INASHUKA KWELI BIA USIKU TENA BIA MBILI AU TATU ZINATOSHA TATIZO MALIMBUKENI MNATAKA KUNYWA KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI MPAKA SAA MBILI ASUBUHI JUMAMOSI ETI WIKEND MNAKULA BATA MPAKA KUKU AONE WIVU HAYA SEMENI NA KINA AFANDE AHMED MSANGI SASA NA LaZIMA WAWAPIGE VIWALET NA VYIM VYENU
 
wewe ndo una set standards za starehe za watu??

set wewe basi maana umekomaa ushaambiwa calabash watu wanakula bata mpaka kuku anaona wivu kama kawaida huu uzushi toa hapa peleka bungeni mpatie lukuvi akusemeeni magamba we;
 
Umejibu vyema sana Mpwa, si kila anenda Bar ni mlevi
Mkuu bar nyingi zinatoa huduma za chakula mchana hivyo si ajabu watu kwenda kujipatia chakula na soft drinks ama hata maongezi mafupi..ungekuwapo hapo sijui ungesema maneno haya?
 
mkuu bar nyingi zinatoa huduma za chakula mchana hivyo si ajabu watu kwenda kujipatia chakula na soft drinks ama hata maongezi mafupi..ungekuwapo hapo sijui ungesema maneno haya?

unakula baaa hujaoa nyie ndio mnaeneza ukimwa hapa nchini ,oa ukale kwako baa bia tuu na wisk nyambaf
 
Calabash ni kanisa au??ni kitu gani hiki au uwanja wa Taifa au IKULU??ningefurahije kama Calabash ni magogoni>??wamevamiwa leo saa ngapi kwa nini wameua ,wamepiga au wamejeruhi wangapi??wameteka Daktari yoyote hapo au wamechukua walet na sim??
..........watu wengine bana !:second:
 
Nimepitia Calabush mara moja muda si mrefu kabla sijasoma humu na kukuta watu wanakula bia kama hakuna kilichotokea! Yaani muda si mrefu viti vinaisha watu wanakula monde kamakawa! Duh!
 
Kama ni kweli, hao majambazi wana uthubutu wa aina gani kuweza kuvamia sehemu iliyo wazi hivyo bila hofu?

Manake huwezi kujua humo ndani nani ana silaha na nani hana.....wana ujasiri gani hao majambazi?
 
Siwezi kulisemea hili ninachojua kwa sasa ni kwamba ndugu yangu yuko hospital
 
dah..poleni sana wahusika woote..hii ndio bongo bwana usikute hata hawa jamaa wametokea pale lugalo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom