Breaking News: Calabash yavamiwa na Majambazi

Bora kama vinywaji hawajaiba maana watarudisha nyuma mrafi wa mjasiliamali
 
Pole sana Mkuu Elli. Nawatakia hao majeruhi wapate nafuu haraka na waendelee na shughuli zao. Na hayo majambazi yashindwe na yalegee ili yashindwe kufanya Ujambazi.
Siku hizi matukio ya Ujambazi yanarudi kwa kasi.
 
Jamaa alitoka kuchenji pesa kwa ajili ya biashara ndipo jamaa wakaja na pikipiki wakapiga risasi ndipo wakachukua mfuko wenye pesa na kutokomea! bado nipo muhimbili
 
Kwa taarifa nilizozipata na ku-confirm ni kwamba Majambazi kadhaa wamevamia Calabash na kuumiza watu kwa risasi, ndugu yangu ni mmoja wa watu waliojeruhiwa na sasa tunaelekea Muhimbili. More to come nikishafika eneo la tukio.
Nauliza tu,je mgomo umeisha???????huko mui2
N:B: kutokana na comments za watu naomba kuweka sawa records kuwa, huyu hakupigwa risasi kwakua alikua bar anakunywa, Lah hasha alipatwa na mkasa huu kwasababu tu yuko jirani na pale na alikua katika kujitafutia riziki, si kila mtu akipatwa na tatizo bar basi alikua anakunywa.

Calabash ni Bar maarufu sana pale maeneo ya mwenge-Dar es Salaam.

pole yao........duh
 
Jamani mgomo bado upo yaani kibasila ward nzima wagonjwa hawafiki hata kumi? au wagonjwa wote wamepona ghafla? inatisha
 
updates ni kwamba risasi bado haijatolewa na wanajaribu kutoa damu chafu
 
updates ni kwamba risasi bado haijatolewa na wanajaribu kutoa damu chafu

Mbona unajichanganya. Mara unasema mgomo bado upo mara unasema WANAJARIBU kumtoa risasi. Wanaojaribu kumtoa risasi siyo madaktari? Halafu huwezi kupima mgomo kwa kuangalia attendance ya wagonjwa bali angalia attendance ya madaktari. Kama wagonjwa hakuna basi ni mgomo wa WAGONJWA
 
Jamani mgomo bado upo yaani kibasila ward nzima wagonjwa hawafiki hata kumi? au wagonjwa wote wamepona ghafla? inatisha

Na mgonjwa wako nae kapona ghafla? Wewe angaika kwanza na mgonjwa wako mambo ya mgomo hayakuhusu.
 
Mbona unajichanganya. Mara unasema mgomo bado upo mara unasema WANAJARIBU kumtoa risasi. Wanaojaribu kumtoa risasi siyo madaktari? Halafu huwezi kupima mgomo kwa kuangalia attendance ya wagonjwa bali angalia attendance ya madaktari. Kama wagonjwa hakuna basi ni mgomo wa WAGONJWA

Bangi za asubuhi hizo hua sibishani ujinga
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom