Breaking news : bus la simiyu express lapinduka na kuuwa wawili papo hapo.

kwenye tv wameripoti kuwa konda ndo alikuwa anaendesha baada ya dereva kumwambia kuwa amechoka. Na dereva ambaye alikaa pembeni kafa ila yule konda aliyekuwa anaendesha hajafa
 
Back
Top Bottom