Mtu ambae anasema hii series ni mbaya basi huyu kiujumla hajui movieMara ya kwanza nimeidownload Breaking Bad, nikaangalia Season 1, tena kwa kuirukisha kidogo, nikaona mbovu mnoooo.
Nikaenda zangu Twitter kuzurura, cha ajabu kila mtu akawa anaisifia, nikajiona fala, nikasema hebu nitulie.
Mzee baba hii series kali mno. Nipo Season ya 5 now, ni hatari sana, inaelezea life kwa ujumla, ila acha, ni mzigo wa moto sana.
Ya action au love storyMtu ambae anasema hii series ni mbaya basi huyu kiujumla hajui movie
Kuna series kali kuliko izoKama mtu hajaangalia series zifuatazo basi hajafaidi series
1. Breaking bad
2. The wire
3. The sopranos
mkuu hii Dark inahusu nini?Breaking bad is good.Lakini kwenye issues ya movies na series bana inategemea interest za MTU
Kuna watu hadi leo umwambii kitu kuhusu prison break !!
Kina wengine wanapenda ma action action tu watakwambi into the badlands
Wengine watakuambia the hundred
So hamna series bora kuliko zote ni perception yako na interest zako.
Mkuu na recommend angalia hizi
1.Dark ( hii Kali sana)
2. The umbrella academy ( bonhe LA series )
3.The crown
4.the last kingdom
5.peaky blinders (usiikose hii)
6.mindhunter
7.black mirror(science fiction )
8 na dare devil
Hafu rudi tena
Bonus: The witcher ( naona INA potential ya kufikia game of thrones)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Fringe iko vp man?!!Breaking bad ni series kali sana isiyo na mbwembwe wala ngono. Ila storyline nzuri sana na inaakisi maisha ya kawaida, hakuna uongouongo na unnecessary drama.
Ila kwangu sio series bora ya wakati wote ingawaje top 5 haikosi
1. Fringe
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Lost
5. The 100
6. Revolution (ingawaje waliacha mapema)
7. Silicon valley
8. Startup
9. The crown
10. Narcos
11. Designated survivor
Sent using Jamii Forums mobile app
ASAC shrader"You are the smartest person know and yet you fail to realize that he made up his mind 10 minutes ago"Hank Schrander DEA sgent nwenye makeke
[emoji1787] nipo season ya 1 ep 5 mhuni kaamua kurudi jikoni formula ajuiResume....curriculum vitae....[emoji1787] kazi akaishindwa akarudi kupika!!
Enjoy mkuu...the kid is a real punk!![emoji1787] nipo season ya 1 ep 5 mhuni kaamua kurudi jikoni formula ajui
Breaking bad imenilazimisha kuangalia "Better Call Saul", iko poa sana hii series. Ila hizi series ni kwa watu wenye kusikiliza nini kinaongewa na kufanyika zaidi ya nini kinafanyika(wabongo wengi tunapenda tuone bunduki, ngumi, mikuki, mishale, kukimbizana na sex scenes bila hata kuelewa the whole story)blegh! Angalia na Better Call Saul, Series kali ya muda wote ni Game of thrones, inafuatiwa na The Sopranos, Breaking bad na Dexter zipo top ten ila sio 5 bora.
blegh! Angalia na Better Call Saul, Series kali ya muda wote ni Game of thrones, inafuatiwa na The Sopranos, Breaking bad na Dexter zipo top ten ila sio 5 bora.
The Sopranos imdb 9.2Ratings imdb
Breaking bad 9.5/10
Game of thrones 9.3/10
Better call saul 8.7/10
Vikings 8.5/10
Money heist 8.3/10
Prison break 8.3/10
Blacklist 8/10
Black sails 8.2/10
Tujaribu kuiheshimu breaking bad na game of thrones