Breaking bad series bora kwa muda wote

Hii haina ubishi. Pia ndiyo show ambayo kila character anaweza pata rating ya +99%. Yule mwanasheria wao hajawahi tokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Gustavo ameifanya filamu kua bora zaidi,breaking kweli ni filamu kali haijawahi kutokea idea ya filamu kama ile iko poa na ipo kwenye uhalisia ila ilipoishia nilihisi kama inaweza kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna movie yake inaitwa breaking bad. Sijui kama ishatoka. Inazungumzia maisha ya Jessie baada ya pale. Pia ilitolewa show/series kwa ajili ya kuizungumzia BB! Inaitwa "Talking bad".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
Say what! Ni ya kawaida! Sema inavyoanza inahitaji akili nyingi kuielewa. Ila ukishaielewa tu unalewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna movie yake inaitwa breaking bad. Sijui kama ishatoka. Inazungumzia maisha ya Jessie baada ya pale. Pia ilitolewa show/series kwa ajili ya kuizungumzia BB! Inaitwa "Talking bad".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio inaitwa El Camino maana ndo movie inayomzungumzia Jesse Pinkman baada ya BB na imeshatoka mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking Bad kuna spin off series yake inaitwa Better Call Saul. Humo inazungumzia maisha na mishe za wakili Saul Goodman (Jimmy mcGill) akipanda chati kwenye fani yake ya sheria

Ni nzuri pia, yupo babu babua mike emmentraut, bosi bandidu gustavo fring and the whole gangs isipokuwa mr white na Jesse bozo Pinkman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Series bora nilizoona mpaka sasa..

1. GoT ( the finale sucks, the books are awesome)
2. Breaking Bad ( best ending ever)
3. The Sopranos ( yes itafute hutajuta)
4. The Wire ( detectives mc nulty na the bunk plus legendary Omar)
5. House of Cards ( seasons 4 za Kevin Spacey gwiji figisu za siasa)
6. Succession ( so far so good labda )
7. Mini series ya Chernobyl
8. Homeland ( Saul Berenson genius spy chief)
9. Prison Break
10. Lost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa kitu inategemea na mtu mwenyewe, hiyo series kwangu hamna kitu kabsa, na ilishanishinda hata kumaliza episode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…