donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Wanaume wa mikoani tushangaa wa huko Dar maana hapo ni kama unakula mboga mboga tu njaa ni baada ya dakika 10 tu,hahahSoseji + mayai + vitumbua(mafuta kibwena) dahh.. halafu ukute yai ni la kizungu..
Halafu mbona matunda ni machache mkuu. Naona tango ni kipande kimoko tuu
Asante nimejifunza vichache hapa.....Eat fruits in an empty stomach
Hupaswi kula matunda na vyakula vingine mmengenyo hautakuwa mzuri.
Eat fruits at least 30 min before you eat your breakfast/meal
Ive been vegan for 5 years now
I know a lot about healthy eating
Sometimes desserts inaweza kuwa fruit salad, hapo vipi napo? Maana dessert inaliwa baada ya main course.Eat fruits in an empty stomach
Hupaswi kula matunda na vyakula vingine mmengenyo hautakuwa mzuri.
Eat fruits at least 30 min before you eat your breakfast/meal
Im vegan for 5 years now
I know a lot about healthy eating
We ni wa mkoa gani? Mwanza au?Wanaume wa mikoani tushangaa wa huko Dar maana hapo ni kama unakula mboga mboga tu njaa ni baada ya dakika 10 tu,hahah
Katavi huku ndani ndani kabisaaaWe ni wa mkoa gani? Mwanza au?
Mhh!! Vitumbua 5. Mkuu upo vizuri. Hongera
Oh kumbe. Unafuga ng'ombe au kondoo?Katavi huku ndani ndani kabisaaa
Ni makosa na mazoea mabaya tu kufanya mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kuwa kikamilisho cha main course (meal)Sometimes desserts inaweza kuwa fruit salad, hapo vipi napo? Maana dessert inaliwa baada ya main course.
Dude, nimefanya kazi kwenye posh hotels UK. Desserts fruit salad sio mazoea. Ndio moja ya options maarufu. Na wapishi ni chefs wakubwa.Ni makosa na mazoea mabaya tu kufanya mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kuwa kikamilisho cha main course (meal)
Naishi Arusha na nimeona kwenye hotels na lodges nyingi wanahudumia hivi lakini ni mazoea tu.
Fruits should be eaten in an empty stomach kwasababu matunda hayachanganyiki vizuri yakiliwa na vyakula vingine.
Haya mazoea (utamaduni) upo ulaya lakini si kwajamii nyingineDude, nimefanya kazi kwenye posh hotels UK. Desserts fruit salad sio mazoea. Ndio moja ya options maarufu. Na wapishi ni chefs wakubwa.
OK...labda mazoea yamefanya wageni tuone ni kawaida.Haya mazoea (utamaduni) upo ulaya lakini si kwajamii nyingine
Je umechunguza jamii za Asia ambazo ni plant based food? Hakuna huu utaratibu wa kupata fruit salad kukamilisha mlo wako.
Matunda yanapaswa kuliwa tumbo likiwa halina kitu (kabla au baada ya muda mrefu toka upate meal)
Nadhani hivyo.OK...labda mazoea yamefanya wageni tuone ni kawaida.