Breakfast is the most important meal of the day.....make the most of it...!!!

Wabongo siku mkilaga vizuri au kwenda hotelini ndo mnapigaga picha unafikiri hatuwajui tunawajua sana
 
Hivi mbona suala la watu wakiongelea kuwa majuu huwa kama inakusumbua!! Hii sio mara ya kwanza naona hilo.
Jose tupambane tu na hali zetu sie tuloishia mpitimbi, watu wanaexposure zao.
Sawa Dada nimekuelewa..tuendelee kupambana na hali zetu
 
hahaha jaman i wish ukae na mm ht siku 1 unione navyokulakula ! yaan mdomo usipokuwa unatafuna tafuna najihisi kaupweke hivi yaan! jana usk nimerud na ndiz ngj nitafune walau 1 ninaposubiria tea
Yaan we mwanamke huna tofauti na wasanii wa temeke, wasanii wa tmk ndio wanaoongoza kwa kupenda kula na mara nyingi kwenye mashairi yao hutaja misosi. Hadi nature alitoa album inaitwa ugali
 
Back
Top Bottom