Breakfast is the most important meal of the day.....make the most of it...!!!

aisee nguruwe ni nyama mbaya mnoo !mie nilisomaga sehem nikasema asante Yesu kuzaliwa msabato !mkuu nataman sana kuunga tela !duh 17kms? asalaale! hongera had raha !yaan wewe suala la pumzi kukata utakuwa unalisikia kwa watu tu !na huugui mara nying !ulianza na km ngapi !niojne km nitaweza
Vizuri hutumii nyama ya nguruwe.

Endelea kutumia plant based diet.

Kuhusu kukimbia anza taratibu kwasababu si kila zoezi kila mtu anaweza kufanya.

Nakushauri anza na cardio workouts. Hii itasaidia kuweka viziri viungo na misuli yako

Taratibu anza kukimbia umbali mfupi. Labda kuzunguka kiwanja cha mpira kadiri itakavyoweza.

Mwisho utaona tu pumzi inaongezeka.

17kms siyo nyingi.

Je wanaokimbia marathon 24km?

Jambo zuri kuhusu mazoezi ni kwamba mtu aliyefanikiwa kukimbia Marathon hatokufa kwa magonya ya moyo.
 
sawa laba nianze na nusu uwanja au robo uwanja ! nitaanza kwakweli nipishane na magonjwa ya moyo mie na kuwa strong !maana nimeanza kuwa tipwatipwa mxiew
 
Ndiyo

Ukianza mazoezi na mwonekano wako utapendeza zaidi.

Nyama zitakaza pia ngozi yako itang'aa zaidi (glowing)

Nusu uwanja au robo ni sawa tu. Anza taratibu kadiri unavyoweza.

Muhimu uwe na consistence kwenye mazoezi.

Mimi imepita miaka sasa naishi hii lifestyle. Imeshakuwa sehemu ya maisha yangu
 
dah! ninaweza kbs! nyama siwez kukata ! nitaanza mapema nina mwez sasa nafanya sana kaz za kunitoa jasho thou huwa nafanya na kuacha ngj sasa iwe ndo ratiba yangu !ahsante sana kaka !yes kwa skini huwa ni kweli inaadilika sana !napendas sana nikim ie nisweat !uwiii Miss Natafuta,Nalendwa ,demi ,Neybright unga tela mashost tuwe na glowing skin
 
shosti kwenye misosi ukosekaniki
 
Sahihi

Healthy lifestyle (nachokula, nachoongea, mazoezi, books etc) ni muhimu sana kwangu.

Vyakula vingi naandaa mwenyewe home. Kwahiyo naendelea kujifunza continuously.

Week ya pili sana I'm in raw vegan diet.

Asubuhi mchanganyiko wa matunda tu.

Mchana raw veggies, matunda yakutosha, coconut milk, labda na chocolate japo sipendelei sana.

Jioni raw veggies na matunda plus soya milk (kiasi kidogo sana) na karanga pia.

Nakula hivi kwa week tatu tu. Ni challenge nakamilisha.

The results are amazing man
Yataka moyo.
 
KINACHONIPA SHAKA HUYU JAMAA NI TILES ANAPOFOTOA HIZI PICHA ZAKE.HAZIFANANI KABISA ZINAKUWA TOFAUTI MARA NYINGI.JE NI PICHA ZA KU DOWNLOAD????...
 
dah! ninaweza kbs! nyama siwez kukata ! nitaanza mapema nina mwez sasa nafanya sana kaz za kunitoa jasho thou huwa nafanya na kuacha ngj sasa iwe ndo ratiba yangu !ahsante sana kaka !yes kwa skini huwa ni kweli inaadilika sana !napendas sana nikim ie nisweat !uwiii Miss Natafuta,Nalendwa ,demi ,Neybright unga tela mashost tuwe na glowing skin
Diet inanishinda..zoezi nalo mmh! Nahitaji maombi maana najikuta nakula hovyo hovyo tu
 
Nyote mnaotaka kupungua njoon kawe beach ....kuna kikundi pale jion NA asbhi .....utaipenda
 
Back
Top Bottom