Breakfast is the most important meal of the day.....make the most of it...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
IMG_20171031_094609.jpg
 
Eat fruits in an empty stomach

Hupaswi kula matunda na vyakula vingine mmengenyo hautakuwa mzuri.

Eat fruits at least 30 min before you eat your breakfast/meal

Im vegan for 5 years now

I know a lot about healthy eating
Sometimes desserts inaweza kuwa fruit salad, hapo vipi napo? Maana dessert inaliwa baada ya main course.
 
Ni makosa na mazoea mabaya tu kufanya mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kuwa kikamilisho cha main course (meal)

Naishi Arusha na nimeona kwenye hotels na lodges nyingi wanahudumia hivi lakini ni mazoea tu.

Fruits should be eaten in an empty stomach kwasababu matunda hayachanganyiki vizuri yakiliwa na vyakula vingine.
 
Dude, nimefanya kazi kwenye posh hotels UK. Desserts fruit salad sio mazoea. Ndio moja ya options maarufu. Na wapishi ni chefs wakubwa.
 
Haya mazoea (utamaduni) upo ulaya lakini si kwajamii nyingine

Je umechunguza jamii za Asia ambazo ni plant based food? Hakuna huu utaratibu wa kupata fruit salad kukamilisha mlo wako.

Matunda yanapaswa kuliwa tumbo likiwa halina kitu (kabla au baada ya muda mrefu toka upate meal)
 
OK...labda mazoea yamefanya wageni tuone ni kawaida.
 
Nadhani hivyo.

Lakini unaweza kupata desserts totauti na fruit salad.

Labda wine nzuri kusaidia digestion? Au cake? Chochote chenye asili ya utamu.
 
Back
Top Bottom