donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Naomba definition halisi ya ghettoHapo sio getho, muda wa kuandaa yote hayo utoke wap?
Naomba definition halisi ya ghettoHapo sio getho, muda wa kuandaa yote hayo utoke wap?
Naaamkile chakula unakulaga bila kupiga picha yale ndio maisha yako sasa sio hiki[emoji23]
Sikupingiyaweza kuwa ni getto kwake ndio, mi nina wanangu wanaishi Guest House, wengine wanaishi Bar ila kuna vyumba,wengine wanaishi majengo yaliyokuwa Bar zamani na wengine wanaishi karibu na Bar so wanakula hapo
VyemaBc jamaa anaishi gesti
Hapana mkuuhaaa wee hilo gheto lakishua!!?
UhakikaHii je? Ni getto ama?View attachment 1947688
Maskani/home/geto/kihomeboy/kwa washuaGheto hawaandai kwa kiwango hicho Hapo patakuwa GETOOO
Ni makazi rahisi ambayo yanakaliwa na msela, normally wa kiume na mara nyingi ni chumba kimoja.Naomba definition halisi ya ghetto
Hahahaha itakuwa kakosea kuandika TU badala ya gest ghettoBc jamaa anaishi gesti
Kumbe mimi bado sipo rafu![emoji119][emoji119][emoji119]Ghetto halisiView attachment 1947758
Gheto limepakwa samli na siagi![emoji2][emoji2]View attachment 1946762