donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji2][emoji2]
mkuu hapo ni getho[emoji2][emoji2]View attachment 1946762
umeuaKwanza watu wanaokaa geto hua wanakunywa energy drinks na vitumbua
kile chakula unakulaga bila kupiga picha yale ndio maisha yako sasa sio hiki😂[emoji2][emoji2]View attachment 1946762
yaweza kuwa ni getto kwake ndio, mi nina wanangu wanaishi Guest House, wengine wanaishi Bar ila kuna vyumba,wengine wanaishi majengo yaliyokuwa Bar zamani na wengine wanaishi karibu na Bar so wanakula hapoTuepuke matapeli, hakuna geto la namna hiyo
unamaliza hayo maandazi?
haaa wee hilo gheto lakishua!!?[emoji2][emoji2]View attachment 1946762
Gheto hawaandai kwa kiwango hicho Hapo patakuwa GETOOO[emoji2][emoji2]View attachment 1946762
Acha majaribuuu wewe jamaaa[emoji2][emoji2]View attachment 1946762
Si kweli mkuuAisee breakfast ya kishua hiyo, sio ya kisela
Sawa maana huu ni mtandao piaPicha ya mtandaoni hiyo
Economists tuna agree to disagree [emoji2][emoji2]Scammer