Hivyo tusio nazo Ses tumekosa neema eee? 😜😜
Hujakosa hata ukiwa na afya njema ni neema,tena ni neema kubwa sana. Unachotakiwa ni kumuomba Mola wako na kama ukiomba malia basi omba mali ambayo itakuwa na kheri na wewe.
Nipo ......
Hivyo tusio nazo Ses tumekosa neema eee? 😜😜
Pombe ni starehe.Sio kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu isitoshe maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua!Shukuru sio kila anaelewa kapenda
Na kweli usemalo Mkuu. 🙏🙏🙏Hujakosa hata ukiwa na afya njema ni neema,tena ni neema kubwa sana. Unachotakiwa ni kumuomba Mola wako na kama ukiomba malia basi omba mali ambayo itakuwa na kheri na wewe.
Nipo ......
Alivunjika moyo kwa maneno ya kina Shafi Dauda lakini labda nimpe moyo tu kua Simba itabaki kua imara na msimu huu pia tunanyakua TPL na kule kwenye ligi ya mabingwa tutatingisha vilivyoNaona maneno yako yamemuibua kichakani. Sababu toka sakata la Mo hajibu quote za watu.
CC. OKW BOBAN SUNZU
Maneno makubwa maneno mazuri sana haya, nakubaliana nawe asilimia mia moja mkuuHujakosa hata ukiwa na afya njema ni neema,tena ni neema kubwa sana. Unachotakiwa ni kumuomba Mola wako na kama ukiomba malia basi omba mali ambayo itakuwa na kheri na wewe.
Nipo ......
Haya.
Mwenza acha tu, huwa najitahidi sana nisizoeane na watoto humu ila ndio hivyo tena ajali hutokea.Mwenza kwa nini unazoeana na watoto cheki walivyokosa adabu
Lete pombe zingine tulewe no stress kazikaziWatu tunalewa na tulishajenga..
Mkuu nirushie ramani pm. Tafadhali saba





Kwahio ukijenga nyumba unawaona wasio na nyumba ni walevi?
Mkuu bad loans ni fedha kadhaaHongera. Mpaka hapo imekugharimu sh ngapi?
Jana ulikuwa na thread ya matokeo pia:-
View attachment 1148528
Kuna mtu ambaye yuko humu unajaribu kumfikishia ujumbe.
Au kuna kitu unapitia kwa hiyo unajaribu kuraise self esteem kupitia njia hii.
Hope all is well.
Kama ukiachana na chadema atakurushiaMkuu nirushie ramani pm. Tafadhali saba