Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,805
Hongera. Mpaka hapo imekugharimu sh ngapi?Star Niko site....View attachment 1148342
Hongera. Mpaka hapo imekugharimu sh ngapi?Star Niko site....View attachment 1148342
😀😀😀 Hilo nalo neno SesKwani serikali inakataza kupita kwenye site za watu ukapiga picha halafu ukairusha mitandaoni?
Kila mtu anauwezo wa kufanya hivyo
Umeona eeh?😀😀😀 Hilo nalo neno Ses
NdioUmeona eeh?
Haya majina yenu ya Don nimesoma haraka nikajua wewe ndo umeleta Hii threadJana ulikuwa na thread ya matokeo pia:-
View attachment 1148528
Kuna mtu ambaye yuko humu unajaribu kumfikishia ujumbe.
Au kuna kitu unapitia kwa hiyo unajaribu kuraise self esteem kupitia njia hii.
Hope all is well.
Haya majina yenu ya Don nimesoma haraka nikajua wewe ndo umeleta Hii thread
Hivyo tusio nazo Ses tumekosa neema eee? 😜😜Hizi nazo ni neema za Allah kama zie neema zingine ujue😃
Neema ulizojaaliwa wewe ni zaidi ya neema, muda mchache na kurasa hii ni ndogo kuziandika zote hapa....na hiyo ziada ya urefu ulojaaliwa basi Mungu Akupe nini tena ShadeeyaHivyo tusio nazo Ses tumekosa neema eee? 😜😜
Hebu kwanza pata juice barrriiiid hapo ulipoDuuh! Imetosha Baba. 😍
Mkuu nirushie ramani pm. Tafadhali saba
Utakoma mtani!haaaaa haaaa hiyo ni kabla konda hajafanikiwa kukuingiza kwenye bus. Mwambie akutumie nauli laki 2Duuh! Imetosha Baba. 😍
Hahahaaa. Hatimaye umezungumza Mtani baada ya kimya cha muda mrefu.Utakoma mtani!haaaaa haaaa hiyo ni kabla konda hajafanikiwa kukuingiza kwenye bus. Mwambie akutumie nauli laki 2
Mtani tunajuana na Ses hivyo wala asikupe shida. 😀😀 Maana hizo laki mbili laki mbili anazitoaga bila hata kuambiwa.Utakoma mtani!haaaaa haaaa hiyo ni kabla konda hajafanikiwa kukuingiza kwenye bus. Mwambie akutumie nauli laki 2
Hahahahaaaa, Okwi boban sunzu ni Lunyasi mwenzangu huyuMtani tunajuana na Ses hivyo wala asikupe shida. 😀😀 Maana hizo laki mbili laki mbili anazitoaga bila hata kuambiwa.
Toooba. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hahaaa.Naona maneno yako yamemuibua kichakani. Sababu toka sakata la Mo hajibu quote za watu.Hahahahaaaa, Okwi boban sunzu ni Lunyasi mwenzangu huyu