Bravo wabunge wa CHADEMA on katiba!

W @ NYC usiniambie na wewe una myopia juu ya vyama vya siasa. Hivi chama ni nini hasa? si ni watu, kama Ariel Sharon aliachana na Likud na kuanzisha Kadima na kushinda, Berlusconi alianzisha chama chake na baada ya mwaka akachukua nchi, sidhani kama watu makini ndani ya CCM hawawezi kufanya hivyo kama hawaoni chama mbadala. Tatizo lenu ndani ya CCM ni unafiki, watu hawakubaliani na CCM ila wamo tu ili mkono uende kinywani.
Mkuu Hofstede,ccm ina award negativity...

Hata kamanda wetu huyu anajuwa,tunajuwa misimamo yake ya awali.

Hata Nape mwenyewe akiwa India,it was different...

Hata hao maprofessor ie Palamagamba, kila siku watu wanalalama kuwa walikuwa hivi ama vile lakini now they are different.

Same with Nape akiwa India vs now!

Same with maaskari wanaouwa wananchi ama kupiga mabomu mengi ya machozi dihidi ya wananchi, ticket yake ni more promotion,mifano mingi tu kuanzia kina Mahita,Chicco etc.

Hivyo you can see the trend base on ccm's promotions on injustices,hiyo inapelekea wengi ku act more negatively towards justice.
 
Naunga mkono hoja! Kitendo walichokifanya cdm ni sahihi na wanatuwakilisha vema. Nakupongeza mkuu kwa kuweka maslahi ya taifa mbele. Tunatakiwa kufanya hivyo siku zote bila kujali upo chama gani.

Maoni yangu ni kwamba, sasa vijana wa taifa hili tunatakiwa tuwaunge mkono cdm na wanaharakati wote kuupinga mswada huu wa katiba. Hautujengi bali unatubomoa. Siku zote vijana ndio wanatakiwa kuijenga nchi yao. Tusimame pamoja bila kujali itikadi zetu kutetea maslahi ya taifa letu! Kijana wa miaka 25 akikaa kimya na kuacha katiba mbovu kupita, itamkandamiza kwa miaka 30 kisha anastaafu akiwa hoi huku akiomba mauti yamfike akapumzike. Ni bora kusimama leo na kuikataa ili upate Tanzania ambayo ni mahali bora pa kuishi.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
 
Mkuu Hofstede,ccm ina award negativity...

Hata kamanda wetu huyu anajuwa,tunajuwa misimamo yake ya awali.

Hata Nape mwenyewe akiwa India,it was different...

Hata hao maprofessor ie Palamagamba, kila siku watu wanalalama kuwa walikuwa hivi ama vile lakini now they are different.

Same with Nape akiwa India vs now!

Same with maaskari wanaouwa wananchi ama kupiga mabomu mengi ya machozi dihidi ya wananchi, ticket yake ni more promotion,mifano mingi tu kuanzia kina Mahita,Chicco etc.

Hivyo you can see the trend base on ccm's promotions on injustices,hiyo inapelekea wengi ku act more negatively towards justice.

WANASIASA VIGEUGEU..! POLISI VIGEUGEU..! nape KIGEUGEU
 
Kwanini usianzishe tutakachokiamini? Acha deko kuwa mwanaume kwani baba kama hajajenga nyumba na wewe lazima ulale barabarani kama baba?
jamaa anaona kwenye vyama vingine hamna ulaji wa bure
 
  • Thanks
Reactions: Ame
kwa kweli chadema wameonyesha njia. Magamba wamejipanga kuupotosha umma, lakini wakumbuke kwamba huwezi kudanganya watu kila siku.
 
Jamani we William mama yako mdogo kawaje?
Tafadhali mfikishie ujumbe huu, Nimesikitishwa sana na mchango wake tenge wa jana, Nilisha muamini sana kwamba huyu mama ni jembe, lakini sentensi zake za ajabu mfano

Mnataka raisi achague watu gani?
Huyo ni raisi wetu lazima ndo apewe hayo mamlaka tumpe nani kama si yeye?
Eti mimi ninapo ongea siyo mimi ni watu wa SAME.. ( Hivi kweli watu wa same tukiwauliza ndo wamemtuma atetee hiyo hoja dhaifu ya kumrundikia raisi mamlaka ya kututengenezea katiba?)

Yaani ina maana siku hizi akili yake imeshuka kiasi cha kutooona tatizo la msingi kwa raisi kurundikiwa mamlka ya kufanya teuzi za wajumbe watakao husika na mchakato wa katiba, na kwamba baada ya maoni tena yarudishwe kwa raisi n.k?

Mwambie mama mdogo ametuangusha sana hatukumtegemea awe hivo, tulisha jua kwake yeye ni maslahi ya taifa kwanza lakini kwa aliyo yamwaga jana inatia shaka kweli kama tulivyo mdhania ndivyo alivyo.

Mwambie ajirudi mapema kabla hatuja 'mdelete'

Tafadhali mpelekee ujumbe
 
- Tatizo ni kwamba hakuna alternative, yaani chama kingine cha kukiamini!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharias!

Naheshimu sana mawazo yako ya mwanzo. Lakini kwenye hili la kusema hakuna alternative nafikiri huwatendei haki kabisa Watanzania walioko kwenye vyama vya upinzani. Hii sentece yako inaweza kumaanisha kuwa either hawana uwezo au ni wasaliti wa nchi ndiyo sababu huwaamini. Hii kitu ya wana CCM kufikiria kuwa ni nyie tu wenye mapenzi mema na uwezo wa kuongoza nchi hii kuliko Watanzania wengine kwangu naona kama ni usaliti kwa Wananchi na hizi ndiyo sababu mjadala wa Katiba unaendeshwa kinyemela ili kulinda maslahi ya chama badala ya Taifa. Sasa sijui hapa ni nani wa kumwamini CCM anayefanya kazi kwa maslahi yake au Upinzani ambaye anajaribu kutetea haki za raia??
 
Well at least the Imam called the Cardinal your EMINENCE! big up William...........BTW where have you been all this time mon dieu?
 
Jamani we William mama yako mdogo kawaje?
Tafadhali mfikishie ujumbe huu, Nimesikitishwa sana na mchango wake tenge wa jana, Nilisha muamini sana kwamba huyu mama ni jembe, lakini sentensi zake za ajabu mfano

Mnataka raisi achague watu gani?
Huyo ni raisi wetu lazima ndo apewe hayo mamlaka tumpe nani kama si yeye?
Eti mimi ninapo ongea siyo mimi ni watu wa SAME.. ( Hivi kweli watu wa same tukiwauliza ndo wamemtuma atetee hiyo hoja dhaifu ya kumrundikia raisi mamlaka ya kututengenezea katiba?)

Yaani ina maana siku hizi akili yake imeshuka kiasi cha kutooona tatizo la msingi kwa raisi kurundikiwa mamlka ya kufanya teuzi za wajumbe watakao husika na mchakato wa katiba, na kwamba baada ya maoni tena yarudishwe kwa raisi n.k?

Mwambie mama mdogo ametuangusha sana hatukumtegemea awe hivo, tulisha jua kwake yeye ni maslahi ya taifa kwanza lakini kwa aliyo yamwaga jana inatia shaka kweli kama tulivyo mdhania ndivyo alivyo.

Mwambie ajirudi mapema kabla hatuja 'mdelete'

Tafadhali mpelekee ujumbe

Mkuu ilikuwaje ukakubali kuweka akili yako kwenye suspense kiasi hicho?

Au hukumsikia Sofia Simba akisema kuwa..."Hakuna aliye msafi ndani ya CCM"....Kama hukujua alikuwa anaongelea nini, yesterday was your answer!!
 
- Tatizo ni kwamba hakuna alternative, yaani chama kingine cha kukiamini!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharias!

alternative ya kupata mambo kwa mkato tofauti na ccm hakuna.itakupasa hata ukijiunga uanzie chini kwa kujivua gamba. Labda muanzishe chama chenu. Lakini alternative kwa chadema hakuna. Tunataka kizazi chenye kujiamini na kufanya mambo kwa manufaa ya watanzania wote.mia
 
Jamani we William mama yako mdogo kawaje?
Tafadhali mfikishie ujumbe huu, Nimesikitishwa sana na mchango wake tenge wa jana, Nilisha muamini sana kwamba huyu mama ni jembe, lakini sentensi zake za ajabu mfano

Mnataka raisi achague watu gani?
Huyo ni raisi wetu lazima ndo apewe hayo mamlaka tumpe nani kama si yeye?
Eti mimi ninapo ongea siyo mimi ni watu wa SAME.. ( Hivi kweli watu wa same tukiwauliza ndo wamemtuma atetee hiyo hoja dhaifu ya kumrundikia raisi mamlaka ya kututengenezea katiba?)

Yaani ina maana siku hizi akili yake imeshuka kiasi cha kutooona tatizo la msingi kwa raisi kurundikiwa mamlka ya kufanya teuzi za wajumbe watakao husika na mchakato wa katiba, na kwamba baada ya maoni tena yarudishwe kwa raisi n.k?

Mwambie mama mdogo ametuangusha sana hatukumtegemea awe hivo, tulisha jua kwake yeye ni maslahi ya taifa kwanza lakini kwa aliyo yamwaga jana inatia shaka kweli kama tulivyo mdhania ndivyo alivyo.

Mwambie ajirudi mapema kabla hatuja 'mdelete'

Tafadhali mpelekee ujumbe
Mkuu nashindwa kushangaa, yote uliyo mwaga hapa ndiyo yalikuwa kichwani mwangu tena kwa kiasi fulani mstari kwa mstari. Yule mama jana kaniudhi kweli kwa unafiki aliouonyesha Bungeni.
Suala la katiba ni suala nyeti sana na sio suala la kuleta bla bla kama alizotoa Mama Kilango na mwenzie Mrema. Suala muhimu kama lile kama huna utaalamu nalo ni bora unyamaze uwape nafasi wenye uwezo wazungumze.
@NYC angeanza kumshauri mama mdogo (wa kambo) aache kubwabwaja kama alivyofanya jana.
 
Well at least the Imam called the Cardinal your EMINENCE! big up William...........BTW where have you been all this time mon dieu?

Mkuu....Hawa CCM wanajuana wenyewe, Mungu wao na matumbo yao!!

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba ndani ya CCM ya sasa kuna mtu anaiwaza Tanzania walau mara moja kwa mwezi....!!

Kama yupo nitaomba mnitajie!!
 
Mkoloni mweusi asome alama za nyakati huku mitaani wananchi wanalaani ubabe wa spika umbumbumbu wa wabunge wa CCM
 
Jamani we William mama yako mdogo kawaje?
Tafadhali mfikishie ujumbe huu, Nimesikitishwa sana na mchango wake tenge wa jana, Nilisha muamini sana kwamba huyu mama ni jembe, lakini sentensi zake za ajabu mfano

Mnataka raisi achague watu gani?
Huyo ni raisi wetu lazima ndo apewe hayo mamlaka tumpe nani kama si yeye?
Eti mimi ninapo ongea siyo mimi ni watu wa SAME.. ( Hivi kweli watu wa same tukiwauliza ndo wamemtuma atetee hiyo hoja dhaifu ya kumrundikia raisi mamlaka ya kututengenezea katiba?)

Yaani ina maana siku hizi akili yake imeshuka kiasi cha kutooona tatizo la msingi kwa raisi kurundikiwa mamlka ya kufanya teuzi za wajumbe watakao husika na mchakato wa katiba, na kwamba baada ya maoni tena yarudishwe kwa raisi n.k?

Mwambie mama mdogo ametuangusha sana hatukumtegemea awe hivo, tulisha jua kwake yeye ni maslahi ya taifa kwanza lakini kwa aliyo yamwaga jana inatia shaka kweli kama tulivyo mdhania ndivyo alivyo.

Mwambie ajirudi mapema kabla hatuja 'mdelete'

Tafadhali mpelekee ujumbe

Alafu juzi tu huyu mama alipewa promo kwa Mithupu kule akiwa U.S.A na mzee John
Yawezekana kijana hakumshauri vizuri mama yake mdogo katiba ni nn na kwa nn sasa tunataka katiba.
Alafu kitu kingine mama anajua fika akitetea upande unao taka mabadiliko basi atakosa ulaji
 
Bravo Chadema, hoja ya Tundu Lissu Juu ya ZANZIBAR ilinivutia zaidi. Ule ni ukweli halisi!
 
Jaribu hata kuielimisha familia yako hasa wazazi wako juu ya hicho unachokiona hasa yule mama yako mdogo coz ana kidomodomo kama kasuku, anadhani hii nchi ni ya mumewe na ccm. Pia mshauri mshua aachane na siasa coz naye kachoka kiakili na hata kimaamuzi kwani humuoni. Mwambieni aje muishi wote huko usa.!!
 
jamani mimi ccccm damu damu na nina nguo za ccm nina miaka nane ndani ya chama sijawahi hata kupewa uongozi na mimi ni mmoja kati ya waasisi waliochangia baadhi ya wabunge wachukue ubunge ila kwa hoja hii ni heri niende chadema kwa hoja hii ya tundu lisu.....hekooo
 
Back
Top Bottom