Bravo wabunge wa CHADEMA on katiba!

Bravo wabunge wa CHADEMA on katiba!

Kwanini usianzishe tutakachokiamini? Acha deko kuwa mwanaume kwani baba kama hajajenga nyumba na wewe lazima ulale barabarani kama baba?

Asente kwa kujibu kama nilivyotaka kufanya kwa huyu mvivu wa kufikiri
 
bravo kwa hili Kamanda.Pia nilimshangaa sana ANNA KILLANDO, MREMA yule jamaa wa Zbar. Ukweli CHADEMA wausema na ulisikika.Mrema wala hawezi jenga hoja kwa maslah ya watu wa Vunjo kwa kutetea makosa na upumbavu.Atambue alipata Ubunge toka watu wa Vunjo kwa shukrani tuu na hakua na uwezo wa kupata ubunge.Asitete ujinga na mapungufu akisema wanavunjo watamuunga mkono.Wavunjo walikubali kuabaki nyuma kwa miaka mitano kwa kumtunuku kwa kwazi nzuri aliyoifanya enzi za uwaziri wa mambo ya ndani kwa manufaa ya watanzania.CCM watambue watanzania tumeelimika na hawanabudi kukubali hilo kwa kuangalia changamoto wazipatazo and nototherwise.
 
Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali sana sisi, sio siri katiba tuliyonayo sasa iliundwa zamani sana kukidhi mahitaji ya chama kimoja, sasa wakati umefika wa kuibadilisha ili ikidhi mahitaji ya vyama vingi tulivyonavyo na hasa UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA JUU NA CHINI WA TAIFA!

- Binafsi nimekuwa nikiwakemea sana Chadema kwa makosa ya kina Mtei, huko mwanzoni ya kukubali kuanzishwa siasa ya vyama vingi under Katiba ya Chama kimoja, now ninashukuru kwamba this time wameliona hilo kwamba wananchi tumechoshwa na kuuuziana mbuzi kwenye gunia, CCM tuache uoga na kukubali kwamba kwenye hili la katiba ni lazima tubadilishe katiba au else, I mean sometimes enough inakuwa enough!

- KWA HILI LA KATIBA BRAVO CHADEMA TUPO WOTE!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

Ukifika nyumbani mama mdogo hakupakulii ugali ukome kuwapenda maadui wa familia
 
William,

Nakupongeza kwa hili though nafikiri umekosea unaposema huwezi toka ccm kwa kuwa hakuna chama unachokiamini, huo ni upofu wa mawazo, unataka kuniambia mabaya ya ccm yote ni afadhali kuliko Chadema ilivyo acha unafiki na ujivue gamba, wewe ni chadema damu na hilo unalijua ila unaogopa kuwakera wazazi, ushauri wangu kwako ni kwamba wazazi waheshimu lakini siasa jiamulie mwenyewe kwa faida ya maisha yako na kizazi chako na watatnzania wenzio kwa ujumla.

Chama mbadala kipo nacho ni Chadema, sote kwa pamoja, wababu kwa wabibi, waume kwa wake, vijana na watoto twende sasa kuiunga mkono Chadema.

ushuhuda;

Jana wakati anna Kilango anaongea nilishuhudia akina mama wawili waliokuwa wamevaa khanga za ccm wakizomewa na watu na kulazimika kuingia ndani ya duka.

Jihadhari kuvaa mavazi ya rangi ya kijani na njano labda yawe na nembo ya Yanga.
 
Well, Mnyonge mnyongeni kwenye hili la kugomea Katiba ninawaunga mkono wabunge wa Chadema kwa 100%, I mean Serikali ya chama changu CCM tufike mahali tulijali taifa at large badala ya kujijali sana sisi, sio siri katiba tuliyonayo sasa iliundwa zamani sana kukidhi mahitaji ya chama kimoja, sasa wakati umefika wa kuibadilisha ili ikidhi mahitaji ya vyama vingi tulivyonavyo na hasa UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA JUU NA CHINI WA TAIFA!

- Binafsi nimekuwa nikiwakemea sana Chadema kwa makosa ya kina Mtei, huko mwanzoni ya kukubali kuanzishwa siasa ya vyama vingi under Katiba ya Chama kimoja, now ninashukuru kwamba this time wameliona hilo kwamba wananchi tumechoshwa na kuuuziana mbuzi kwenye gunia, CCM tuache uoga na kukubali kwamba kwenye hili la katiba ni lazima tubadilishe katiba au else, I mean sometimes enough inakuwa enough!

- KWA HILI LA KATIBA BRAVO CHADEMA TUPO WOTE!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
well said mkuu. ila, uliwasiliana na nape akupe info zaid kabla hujapost?
 
Afadhali W.J.Malechela umekuwa muwazi sio wanafiki wengine wa ccm. Penye ukweli na kwa maslahi ya taifa watanzania inabidi tuwe wamoja. Hakuna sababu ya kuvutana. Tunajua kabisa njia ya sasa si shirikishi. Watanzania wapewe nafasi ya kuunda katiba waitakayo na si katiba itakiwayo na ccm.
 
Back
Top Bottom