Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 265
- 261
Naomba kuwasilisha hili wakuu
Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu)
Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa iende mjini..
Ila shida inakuja je unatengeneza matangazo ya Aina gani kwa jamii gani na unataget wateja wa Aina gan?
Matangazo meng ya wasafi soap hayapo creative kitu ambazo kitafanya ata mtu mzima mwenye heshima zake ashindwa kununua iyo sabuni na kutembea nayo mtaani.
Content za matangazo ya wasafi soap yote yapo kingono ngono na mengine ni mauno tu na vigoma..
Mwsho wa siku matangazo ya wasafi soap hayana tofaut na matangazo ya condom ..
Content creator tengenezeni tangazo bila kuonyesha kalio bila bila kuzungumzia ngono..
Hata kama unalenga kuwafikia sana vijana au watu wa uswazi Kuna content nyingi za matangazo za kuwafikia.(Kaa chini umiza kichwa content zipo nyingi sana za matangazo ya sabuni.
Ila mkiendelea na ubunifu huo na mkaona ndio matangazo sahihi ya sabuni bas hizo sabuni ad uchaguz wa oktoba tutakuwa tushazisahau na hazitakuwa na soko.
Vipi wewe unaweza kutembea na mche wa Wasafi Soap kutoka nao dukani ad kwako bila kuuficha kwny mfuko mwngne??
Kwa mnahitaji ya;
Photographer.
Videographer.
Content creator.
Graphics designer.
Digital marketer.
0692477610