Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
HahahahahhahahahahNime "like" [emoji106]
HahahahahhahahahahNime "like" [emoji106]
Sio pamoja na wewe, wewe sio mchafu darlingUkisema wenzenu kwani mimi ni mchafu babe?
Wanaume wengi hatujaumbiwa usafi. Amvumilie ambadilishe taratibu. Mimi pia sifurahishwi na watu wachafu.
Ahaahaaa... So juice is odourless...!Not true man. Let say you have your white shirt stained with a streak of oil or even juice. Do you realize that the streak has made your shirt dirty but it doesn't smell bad aka stinking?
Mgonjwa mahututi???? Watu mnaroho ngumu
Nakuunga mkono,unaweka vitu katika hali ya usafi baada ya muda ni kama hakuna ulichofanya,hiki kinakwenda kule,kile kinawekwa huku,ukisema uache,yeye mwenzio hata hashtuki hali inazidi kuwa mbaya,i know the feelings,wako watu wameumbwa hivyo,very rough,reckless,careless and all that sort of things,pole sana mleta uzi...Kuishi na mtu mchafu yataka Moyo.
😀 😀 😀 😀 nlijaribu nikashindwa asee yaan ata kupiga mswaki anaona anachelewa anatoka zake ivo ivo,dada shkamoo inaonekana ushakutana nalo
[emoji849][emoji849][emoji849] kipindupinduNdo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Hahahahahahahah ngiri unaijua?tena mtu akiwa mgonjwa si ndio joto linazidi
Hahah sina hakika ila naona ni msafi wa kiwango chake.Yaani kukaa kitandani inatandikwa kanga kwanza?
Huyo ni mvivu wa kufua mashuka.
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa kumbe je.He is a good guy sababu anakupa hela au?!
Not all sir but most canned juice are odourless especially when they are made into a small dry streak like I mentioned.Ahaahaaa... So juice is odourless...!
Hakuna mwanaume mchafu, atakua yeye ndiyo mchafu.Anatangaza ili wanaume wachafu kama wewe mbadilike.
Mimi ni mchafu, ila huyo dada anaweza kua mchafu zaidiUkute na wewe ndo wale wale.
wewe endelea kujimbwambafy kuolewa utasikia redioni. Ukifikia umri wa kuolewa badilisha fikra za kishule, za kisherehesherehe, za club , za kujirusha...unapoukubali umama basi yafaa uukane usichana na maisha sii maigizo uyaonayo kwa watu. Watu wanavumiliana kwa mengi ndio maana wanadumu kwenye mahusiano. Unaweza ukampata msafi kweli kweli shughuli ya jeshi haiwezi vizuri lakini kwani sisi wanaume tunavuilia mangapi kwenu? kama sio kastarehe ka muda na kutafuta watoto unadhanmi hali ingekuwaje kwa mfano???
Nimeandika Uzi wangu nataka mwanaume msafi, wanaume wachafu wamepanick. I swear unaweza pata a life partner anakupenda Ila small habits kama hizi zinakuja kuvunja mahusiano. Wanaume wachafu badilikeni, especially small minded men who think being dirty is manly.