Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

Uchafu ni tabia
Na tabia ni kama ngozi

ni wajibu wa kila mtu kuwa msafi usisubiri kumpa mzigo mwenzi wako aje akubadili

Pia tuko zama ambazo iwapo ubize unakukwamisha unakua na pesa yako unaitisha mtu ama watu nyumbani kukufanyia usafi walau mara 1 au 2 kwa wiki au 3 angekuja mtu akafua akapasi akadeki akapika akasafisha ndani nje nk

mwanaume mchafu ni mzigo ndani ya ndoa hio tabia itazidi hadi choo akitumia hatoflush
Kama utaweza vumilia endeleeni
Ama mtaftie kijana/binti wa kazi aje kila wiki

So much sense. Men never want to take responsibility for their actions but always find ways to blame it on women
 
Acha uboya wewe uyo dawa yake ni kutangaza ndoa fasta atabadilika automatikali
 
Nimegundua small habits ndo zinaua mahusiano, unakuta unamwambia mtu ajirekebishe anajifanya mjuaji. Siku unaamua kumpiga chini anaanza kulia lia sijui wanawakenqa siku hizi hawafai sijui wasaliti,kumbe alikua anaambiwa hasikii.
Unakosea approach ya kutumia!!
 
Handas imekata asee. Last time nimeenda hali nliyokutana nayo kule I think I'm traumatised.
Kwa hiyo sasa uko free na sisi tu jaribu nafasi yetu mm nina dairy farm nahangaikia si uje tukaendeleze haaaa mm bahari a ni mchafu ila ni kz za shamba jioni naona kila siku nalala sehemu nzuri
 
Huyo amelelewa katika mazingira ya kudekezwa kila kitu afanyiwe na house girl au mama yake. Yaani hakufunzwa kuwa msafi tokea mtoto sasa jaribu njia hz pengine utamsaidia..

Chumbani kwake tenganisha nguo safi na chafu. Kama ana kabati la nguo kunja vzr nguo zake na umewekee kila ina ya nguo sehemu yake. Kisha uweke tenga la nguo chafu alafu una lebel na pen "nguo chafu"

Mnunulie shoe rack panga viatu vyake vizuri. Weka kitenga kidogo au box kisha lebel "soksi+boxer+ handkachif"

Pia ondoa meza chumbani ambayo inamuhamasisha kulia chakula chumbani. Ama kama kuna kochi, tv ondoa peleka sebuleni ili kumkosesha sababu ya kula chumbani.

Nunua dustbin weka sebuleni lebel "takataka" ili hata akimaliza kula ndizi aone sehemu ya kutupa.

Jaribu ku organize kila kitu chake in order alafu weka maelekezo kwa ku lebel tu. Na ktk kila lebel weka "i love u" ili asione kama unamshurutisha au umempangia sheria nyumbani kwake.

Hapo kwny kuoga sasa ndo mpaka aamue mwenyewe aisee [emoji4]
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kuna kadem kangu flani kaongeaji sana, kabla sijaenda kwake akawa ananikazia ati kwake hawafiki watu. Kako smart kwa muonekano ila nikahisi katakuwa kachafu sana.

Nikajiuliza sana huyu manzi yeye anajiona nani katika hii maisha hadi baharia nisikanyage kwake. Nikawaza au anafuga mtu nini huko ndani!?

Nikaamua kutumia medani za kisiasa nikatua kwake. Nilipofika sikuamini, demu ni msafi wa mwili na mazingira na anajipenda sijapata kuona. Nikilinganisha na alivyo pini aibu niliona mimi maana hadi kitandani hukalii shuka unatengewa kanga kwanza na mto unawekewa kikoi ili usipakwe mafuta toka kichwani.

Viatu vinakaa nje ili visichafue hali ya hewa na unanawishwa miguu kwanza. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka sasa mie ndio nakwepa asije kwangu sasa.
Huo siyo usafi mkuu ni ulimbukeni. Yaani kwa lugha nyingine huyo atumii vitu vinamtumia yeye. Sasa hadi kunawishwa miguu kwani unaingia msikitini kuswali.

Eti shuka mpaka liwekewe kanga juu, ya nini basi atandike kanga ahachane na mashuka kabisa. Ungeitoa hiyo kanga ukaitupa pembeni kabla ya kutumia kitanda. Limbukeni huyo na umefanya vizuri kumkwepa asije kwako.
 
Hahaha simaanishi usafi uzidi hapana. Zile normal ettiques kama kutoa sahani ukila, kutupa uchafu kwenye Dustin, yani vile vitu vya kawaida navyo ni tatizo.

Kama unajua mambo ya ettiquete you must be a smarter woman bt very unfortunately your fate is like that! Protocol and ettiquette..... ha ha ha!
 
Kuna watu wachafu jamani sijui wanajisikiaje kuna mkaka namfaham nilipita maeneo anakoishi akaniita nimsabahi aisee sebuleni vijiko vipo juu ya sofa yaan vumbi
Nikajiuliza anaona hali ya kawaida kuishi hivii nikamsalimia nikasepa
Kuna wadada pia ni wachafu ukiingia ndani mwao unaweza kosa hata pa kupumulia yaan o2 hakunaa sijui wana matatizo ya akili [emoji23]

Uchafu hauvumiliki kwa kweli safi sana kwa wanaume walio wasafi kuanzia miili yao mpaka wanapoishi
Kama huwezi fanya kuna watu wanatafuta hizo kazi anakuja anakufulia,anadeki anapanga vitu vyote na kusafisha kila kitu muwe mnawaita hata hao jamani
 
Kuna watu wachafu jamani sijui wanajisikiaje kuna mkaka namfaham nilipita maeneo anakoishi akaniita nimsabahi aisee sebuleni vijiko vipo juu ya sofa yaan vumbi
Nikajiuliza anaona hali ya kawaida kuishi hivii nikamsalimia nikasepa
Kuna wadada pia ni wachafu ukiingia ndani mwao unaweza kosa hata pa kupumulia yaan o2 hakunaa sijui wana matatizo ya akili [emoji23]
Umeniwahi
Sio wanaume tu
Nina rafiki zangu wawili ni wachafu wa mazingira balaa, wanaoga wanavaa wanapendeza nje utasema wanaishi masaki!! Ukiingia room kwao aisee, nguo zimejaa kabatini zimerundikana mpaka zimemwagika chini yani ukiingia unakanyaga nguo , kitanda shuka halijulikani hapajatandikwa pana mwezi shuka chafuu! Madirisha machafu kajaza chupi! Vipodozi vingine vipo kwenye dressing table ina vumbi mno halafu vimefunguliwa havijafungwa viko hovyo hovyo tu! Kama kuna viti vipo vipo tu halafu haoni aibu walaaa, kaamka asubuhi kaswaki, kanywa chai anachati kutwa nzima anashindwa hata kufanya usafi!![emoji22] juu ya neti kumejazwa nguo chafu
 
Hapana kwa kweli. Siwezi kuishi maisha yangu yote namvumilia mtu.

Mwanaume analelewa @ shoga angu [emoji108][emoji108]

Ukikubali kuishi na mume umekubali malezi!

Kazi yako ni kujipanga ikiwemo kuweka house keepers wazuri na vitendea kazi na kuwalipa watenda kazi wa familia.

Kama mkiwa na hela ni rahisi sana lakini kama hamna hela mama ndo inabidi ufanye hayo yote wewe!
 
Mojawapo ya sifa kubwa za upendo ni uvumilivu !

Nyingine;
Upendo haujivungi,
Hauhesabu mabaya
Huamini yote, haukosi kuwa na kiasi, haukosi kuwa na adabu n.k

Kwa hiyo ikikosekana uvumilivu basi upendo u mashakani!
 
Back
Top Bottom