Yaani kukaa kitandani inatandikwa kanga kwanza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna kadem kangu flani kaongeaji sana, kabla sijaenda kwake akawa ananikazia ati kwake hawafiki watu. Kako smart kwa muonekano ila nikahisi katakuwa kachafu sana.
Nikajiuliza sana huyu manzi yeye anajiona nani katika hii maisha hadi baharia nisikanyage kwake. Nikawaza au anafuga mtu nini huko ndani!?
Nikaamua kutumia medani za kisiasa nikatua kwake. Nilipofika sikuamini, demu ni msafi wa mwili na mazingira na anajipenda sijapata kuona. Nikilinganisha na alivyo pini aibu niliona mimi maana hadi kitandani hukalii shuka unatengewa kanga kwanza na mto unawekewa kikoi ili usipakwe mafuta toka kichwani.
Viatu vinakaa nje ili visichafue hali ya hewa na unanawishwa miguu kwanza. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka sasa mie ndio nakwepa asije kwangu sasa.
Huyo ni mvivu wa kufua mashuka.