Boyfriend wangu ni mchafu sana

Boyfriend wangu ni mchafu sana

Isipokuwa tunachangamoto ya malezi ya watoto wa kiume kwenye jamii zetu!

Wanafanyiwa kila kitu,

Wakisafiri wanapangiwa nguo kwenye mabegi yao,

Ndo maana wengi ni wasahaulifu na wapotezaji vitu [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Wewe mwali inabidi upelekwe mkoleni [emoji851][emoji851]

Halafu huenda utaenda wasumbua manyakanga maana naona kama misimamo yako haileweki [emoji41][emoji41][emoji41]

Unazani kwa nini inabidi umfulie hadi makufuli yake?

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Wanawake wa Dar bhna.... wewe kama umekubali utumwa hongera. Naelewa katika maisha kila mtu ana responsibility zake. One man's right is another man's responsibility. Sasa wewe inaelekea hata bwana ako akitoka kunya unaenda kumflashia. Hongera sana inaelekea anakupenda sana baba watoto wako.
 
Nakubaliana nawe!

Kuna wengine vyoo vya kuflash wamevijua ukubwani baada ya kupata kazi mjini , maisha yake yote hakujaliwa neema ya kuishi na kutumia vyoo vya hivyo.

Alizoea akishajisaidia na kutawaza kamaliza anaondoka,

Sasa siku mojamoja ikitokea kajisahau kusukuma maji basi nasukuma!

Though kweli inachosha lakini ikitokea una flash na kumkumbusha kisha maisha yanaendelea!
 
Kweli. Na pia hanisumbui sana kama ex wangu. Hajawahi kunionyesha hanipendi au dharau. Shida ipo kwenye uchafu na ubishi.

Eh! mbishi tena?, I bet ni mnywa konyagi [emoji23][emoji23][emoji23], sijamsema mtu [emoji1550][emoji1550]
 
Wanawake wa Dar bhna.... wewe kama umekubali utumwa hongera. Naelewa katika maisha kila mtu ana responsibility zake. One man's right is another man's responsibility. Sasa wewe inaelekea hata bwana ako akitoka kunya unaenda kumflashia. Hongera sana inaelekea anakupenda sana baba watoto wako.

Maisha yana mambo mengi sana!

Lakini wajuvi wanakwambia maisha ni 10% ya kile kinachotokea lakini 90 % ni ya vile utakavyo yachukulia!

Sasa kumbe mleta mada wewe kuishi na mama mkwe toka kijijini ndo hutaweza kabisa!

Kama mwanaume anaekupa Raha na kukutunza ni hivyo Je mama yake mzazi utaweza kustahimili?

Mfano mama mkwe katoka kijijini hajawahi kutumia choo cha kuvuta maji,

Anakuja kwenu na mwanaume wako kila akienda chooni ananawa anaacha kama vilivyo [emoji108][emoji108] nyie ndo mjipange kila akitoka muwahi kwenda ku flash!

Je utaweza kuishi na mama mkwe au baba mkwe wa hivyo?

Au ndo utaanza kumtia ila na kumuanzishia zengwe aondoke?
 
Yani wanaume mnapoanzisha uhusiano msiangalie sura itakuja kula kwenu na wazazi wenu!

Mchuma janga ........
 
Huyo amelelewa katika mazingira ya kudekezwa kila kitu afanyiwe na house girl au mama yake. Yaani hakufunzwa kuwa msafi tokea mtoto sasa jaribu njia hz pengine utamsaidia..

Chumbani kwake tenganisha nguo safi na chafu. Kama ana kabati la nguo kunja vzr nguo zake na umewekee kila ina ya nguo sehemu yake. Kisha uweke tenga la nguo chafu alafu una lebel na pen "nguo chafu"

Mnunulie shoe rack panga viatu vyake vizuri. Weka kitenga kidogo au box kisha lebel "soksi+boxer+ handkachif"

Pia ondoa meza chumbani ambayo inamuhamasisha kulia chakula chumbani. Ama kama kuna kochi, tv ondoa peleka sebuleni ili kumkosesha sababu ya kula chumbani.

Nunua dustbin weka sebuleni lebel "takataka" ili hata akimaliza kula ndizi aone sehemu ya kutupa.

Jaribu ku organize kila kitu chake in order alafu weka maelekezo kwa ku lebel tu. Na ktk kila lebel weka "i love u" ili asione kama unamshurutisha au umempangia sheria nyumbani kwake.

Hapo kwny kuoga sasa ndo mpaka aamue mwenyewe aisee [emoji4]

Ila hii kazi inaelekea itakuwa ngumu sana dada
 
Naaam....hakika mwanaume akiwa msafi sana kuolewa ni dk 0 tu, mwanaume kua rough ni nature [emoji16],mwanaume anakua na aina 5 za body spray,mafuta kila aina makorokoro kibao..huyo baada ya mda anakua sio mwenzetu tena
Hakuna kitu kama hicho,mkuu kwanza uchafu ni dhambi
 
Kosa siyo lake nikutokana na malezi ya nyumbani kwao, Mama akiwa msafi lazima watoto watakuwa wasafi tu.
 
Maisha yana mambo mengi sana!

Lakini wajuvi wanakwambia maisha ni 10% ya kile kinachotokea lakini 90 % ni ya vile utakavyo yachukulia!

Sasa kumbe mleta mada wewe kuishi na mama mkwe toka kijijini ndo hutaweza kabisa!

Kama mwanaume anaekupa Raha na kukutunza ni hivyo Je mama yake mzazi utaweza kustahimili?

Mfano mama mkwe katoka kijijini hajawahi kutumia choo cha kuvuta maji,

Anakuja kwenu na mwanaume wako kila akienda chooni ananawa anaacha kama vilivyo [emoji108][emoji108] nyie ndo mjipange kila akitoka muwahi kwenda ku flash!

Je utaweza kuishi na mama mkwe au baba mkwe wa hivyo?

Au ndo utaanza kumtia ila na kumuanzishia zengwe aondoke?

Stop justifying bullshit. Mtu mwenye akili timamu hawez kuacha uchafu wake unaelea. Binadamu tumeumbwa na aibu. Hamna aliezaliwa anajua kila kitu. Kama ni mtu mwenye common sense atauliza hawezi kutoka tu hivi hivi akaenda kuangalia tv uchafu wake umebaki hapo. Au unamaanisha watu waliotoka kijijini hawana akili ni mahawayani?? Unaishi na wati wa aina gani dada. I feel pity for you.
 
Kosa siyo lake nikutokana na malezi ya nyumbani kwao, Mama akiwa msafi lazima watoto watakuwa wasafi tu.

Ofcourse. Kina mama waleeni vizuri watoto wenu wa kiume. Mnatupa kazi ya ziada
 
Niliachana na jamaa flani sababu ni hiyohiyoo na nyingine,,angekuwa na na hiyo moja tuu ningevumilia
 
Usafi ni lazima kuwa mwanaume sio kigezo cha uchafu wakuu,
IMG_20191013_214146_277.jpeg
 
Nikweli uchafu uhanzia kwenye familia, Mama kwenye nyumba akiwa msafi lazima watoto watakuwa wasafi.

Hilo halina ubishi mkuu
Wazazi wanatujenga na kutuweka katika maadili mazuri na malezi mema
Usafi ni moja katika ibada na ni lazima tuwe hivyo
 
Back
Top Bottom