Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Kuna mdada namjua nilitaka kumtongoza ikabidi niache. Ofisini kwake meza yake akimaliza kula snacks basi kila kitu kitachwa mezani...
Upangiliaji wake wa meza mchafu saana...sijawahi kufika kwake ila nadhani hapaingiliki...siku akawa ananipigia stori za kuachwa achwa na wanaume...nikajua tu huyu kwa huu uchafu nani ataweza kuishi naye.