alwatan yusuf
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 347
- 290
Panga wewe ili mkazini kwako mwenzio hakuwazii endelea kumpa papuchi gesti
Uandishi unaleta ukakasi haujazingatia punctuation, sehemu ya kuweka alama ya kiulizo unaweka koma, mbona mnatupa tabu hivyo kusomaHabari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Wewe mzoefu wa hiyo makitumbanie papuchino yako.. au mwambie muwe mnakaa hoteli zenye hadhi ... we binti ni dhambi kuzini ila we umepewa bonus unapelekwa kwa wazazi unalalamika wengine wanakutanguliza gesti halafu yeye anakuja badae na wakati wa kuondoka anakutanguliza yeye anatoka badae... mshukuru Mungu
hapana mkuu si mzoefuWewe mzoefu wa hiyo makitu
Naona umeamua kujitolea mkuuNjoo mim nakaa kwangu....
Hakika... Kama kero yake ni hiyo tu basi mimi nimeimaliza. Aje tu kwani naishi jeshi la mtu mmoko.Naona umeamua kujitolea mkuu
Kumbe kupelekwa home ni bonus eehmbanie papuchino yako.. au mwambie muwe mnakaa hoteli zenye hadhi ... we binti ni dhambi kuzini ila we umepewa bonus unapelekwa kwa wazazi unalalamika wengine wanakutanguliza gesti halafu yeye anakuja badae na wakati wa kuondoka anakutanguliza yeye anatoka badae... mshukuru Mungu
si ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
haaaaaaaaaaaaaaaa hapo umesemaWatu wana malengo ww unadhani watu wanapenda kupanga mjini hapa
ndiyo wengine wanakuficha kama ukoma ha ahahaha yani ukikosea hata kujuana na dada yake unaweza achikaKumbe kupelekwa home ni bonus eeh
Hahahahahaha we mtu ni atar aiseeeeKama kujenga ni rahisi basi wewe mchukue mpeleke kwako,