Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,844
- 33,551
Alafu sisiter kama jamaa kwao ndio mtoto pekee ajenge ili iweje!
Exactly,na yawezekana hana mpango kumuoa ila anajipendekeza tuBoyfriend sio mume wako mkuu elewa!
Ado ado bibienimecheka sana
Sipendagi ujinga mimiHahahahahaha we mtu ni atar aiseeee
Mi sijatunga walaila jamani humu nahisi mara nyingi stori ni za kutunga manake unaweza kuta mtu mmoja ana thread hata 5 tofauti, leo bf/gr baada ya wiki atakuja ooh mume/mke, baada ya hapo atakuja na niko mpweke nisaidieni mawazo basi hata havieleweki ndo mana mimi huwa naangalia sana thread ya ku comment zingine najipitiaga tu kama kwa huyo nimekuja ili nisome comment nicheke,na nimecheka hasaa
Mbona umepanic, Hugo hakuelewaHawa wana leta stor za vijiwen huko ***** kabisa[emoji276] [emoji276] [emoji276]
Fungi LA nyanya likojeNawewe unaboa sana umeandika kama fungu la nyanya vile...
Nini kimezidi nikusaidieInabidi mode iweke Sheria ili.Mtu aweje uzi inabidi awe JF zaidi ya mwaka mmoja. Maana zimezidi
Ana Mdogo akeAlafu sisiter kama jamaa kwao ndio mtoto pekee ajenge ili iweje!
Yani ni sheedaHahaha sijawahi date kijana anaeishi kwao jmn..i can imagine itakua mtihani sana..
Hivi kukaa kwako na house girl labda au rafiki alafu mpenzi wako anakuja hapo kugegedana au kwenda kugegedana gesti ipi mapenzi yanakuwa huru na matamu,maana najua kwako hata kama upo peke yako mtaogopa kujiachia sababu ya wanaowazunguka ila gesti hata ukitaka kutoa mguu dirishani huwezi kujali sababu papo maalum kwa hayo mambooHabari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Nikimuuliza harusi yetu lini anajibu bado sanaExactly,na yawezekana hana mpango kumuoa ila anajipendekeza tu
huyo sio boyfriend, ni boybrother. umepotea. wanawake wenzio wanatafuta watu wenye akili ya kujitegemea. watu kama sisi tuliondoka home tukiwa na 18 years. lakini kuna watu wamemaliza chuo, wengine wanaoa na mke na kumleta kwenye nyumba ya wazazi.si aibu hiyo.Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Na vipi kuhusu girlfriend anae kaa kwao?Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Naona umetumia fursa...[emoji39] [emoji39]Njoo mim nakaa kwangu....