Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Kuna jamaa alivyotaka kuoa mwaka jana akanisimulia madhaifu yote ya bi harusi mtarajiwa, nikamwambia kama vipi vuta subira kidogo ujiridhishe au utafte mtu mwingine. Jamaa akalazimisha.
Hadi tunavoongea dakika hii jamaa hana hamu maana mwanamke hashikiki and full dharau. Hana ujasiri wa kunisimulia yote ila anafanya mipango waachane. Nilichomshauri ni kuwa avumilie tu maana ndoa haivunjwi hadi kifo.
Nilichojifunza:
Usije ukajipa moyo hata siku moja kuwa eti atabaidrika. Never
Ni kama uoe mmachame eti sikuiz wako safi. (Natania)!!

Last edited: