MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
- Thread starter
- #101
Jamani kwani mimi nimesema wewe ndio wa kwenye story?
Nashangaaa unavyoniita dogo.
Jamani kwani mimi nimesema wewe ndio wa kwenye story?
Malizia basi storyNashangaaa unavyoniita dogo.
mamaeeee Malcolm Lumumba nimeshapita huku
duuuhh simchezo hii
waache wivu bhanaaaa kwani sisi tunamjua broo wakoHapo nilijitahidi kupunguza baadhi ya vitu nisije nikagundulika na watu wanaopita humu!
Kuna ndugu tayari walishauona huu uzi wakapiga stop na mimi nkaupotezea kabisaaaa!
waache wivu bhanaaaa kwani sisi tunamjua broo wako
vipi lakin broo aliweza kuhandle life pasipo kujidhuru
maaana daaaahh wanawake bhana