Boxing day tumepigwa box

Boxing day tumepigwa box

Siku zote nipo nawaza huyu kaka wa watu tumsaidieje asije jinyonga? Si unajua sisi wanawake kazi yetu kubwa ni kubembeleza wanaume hasa wakiwa kwenye wakati mgumu kama huu! Baadae ntarudi siwezi mwacha na majonzi haya

kazi yenu kubwa ni kuuma na kupuliza kama panya.

swissme
 
Yaani hapo tiba ni muda tu.
Tatizo sasa ni uwezo wa kuvumilia mpaka hiyo dozi ya muda ikamilike.
Ni moja kati ya experience mbaya kabisa katika maisha yangu. Asante Mungu nimevuka salama bila kufanya hata kimoja kati ya vitu vibaya na vya ajabu nilivyovifikiria kipindi hicho.
 
Kweli hujakosea mkuu.
Kweli kabisaa.
 
dah mie sijui nimeumbwa vipi..
ila nina msura wangu mmoja lazma nikimkazia binti..atatoa siri zote za ndani

anyways mpe pole kaka...na mwambie avumilie atapata tu
 
Yaani hapo tiba ni muda tu.
Tatizo sasa ni uwezo wa kuvumilia mpaka hiyo dozi ya muda ikamilike.
Ni moja kati ya experience mbaya kabisa katika maisha yangu. Asante Mungu nimevuka salama bila kufanya hata kimoja kati ya vitu vibaya na vya ajabu nilivyyovifikiria kipindi hicho.

Muda unaponya japo unakuachia makovu makubwa sana.
 
Back
Top Bottom