Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Boxing day leo siku ya zawadi sisi wakristo wakatoliki wa huku Kilimanjaro tuna idedicate kwa gamer changer,kipenzi cha waTanzania,mpenda haki na mbeba maono kwa waTanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupambania sisi waTanzania hadi tone la mwisho ili kuifanya Tanzania kuwa big country in the world and Afrika

Rais Samia pokea zawadi zangu au salamu zangu kwa wachaga wa Tanzania mzima kkkt na wakatoliki wa huku moshi mimi nikiwa muwakilishi wao nakupa 🎁🎁🎁 kwa siku hii ya Leo ya boxing Day
 
Mjamzito anapewa zawadi gani
 
Mjamzito anapewa zawadi gani
1766724009008.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom