Box la dhambi

Box la dhambi

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,314
Hii dhambi ni mimi au hawa walio nipa hili box?

Nilifiwa na baba yangu marafiki wakanifungashia box kufika kijijini nikafungua box baada ya wazee kutumia kilichomo kijiji kilichafuka ikawa balaa majitu ya kachalangana na mciban pakawa hapatoshi baadhi ya baba zangu wakawekwa ndani na walishindwa kumzika ndugu yao ,.... Mh najisikia vibaya maana chanzo kilijulikana kuwa ni lile box ...... Hebu nisaidieni hii dhambi naibeba mimi au hawa washikaji wangu?
 
hiyo Box ilikuwa na nini ndani yake me hata sijakuelewa NATA.:smile:
 
Halafu habari yenyewe inahusiana na Matokeo ya uchaguzi 2010...:nono:
 
Basi kama ni habari ya uchaguzi: Sisiem wameshindwa dhahiri watu hawawataki. siwaondoke kikhiari tu. kwa jamani hata mzee nyerere saaliondoka tu. nyie vijana ndio wa kuongea na wazee. hii kitu isilete zahma kijijini.
 
Back
Top Bottom