Bouncer ameolewa

Bouncer ameolewa

Ha ha Sky Eclat huyo shost ako ni kabila gani?
ljf.PNG
 
Hivi mwanamke anayempa kibano mumewe, anajiamini kiasi gani?! Mimi mke wangu akinipiga kibao kimoja tu basi nasepa zangu maana ukibaki utazoea vipigo kama huyo chalii
 
sasa bouncer kaolewaje hapo.. mbona title haijaendana!
 
sasa bouncer kaolewaje hapo.. mbona title haijaendana!
 
Jibaba zima unadadavuliwa mabanzi ya kutosha mjengoni!

Hiyo familia itakuwa batili na hakutakuwa na order!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom