sherberry
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 306
- 366
Lol nitawaambia ni Usa river kwetufusspots wakija hapo watakuuliza "Usa ndio nini"
Lol nitawaambia ni Usa river kwetufusspots wakija hapo watakuuliza "Usa ndio nini"
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji123] [emoji123]
Yaani nikikutana na stuff za wanyaki huwa nacheka sana siku hizi..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji123] [emoji123]
Endelea tu kucheka, si bado hujashushiwa mabanzi tehYaani nikikutana na stuff za wanyaki huwa nacheka sana siku hizi..
kwa kweli makabila ni kigezo cha kuzingatia maana unaweza kugeuzwa uwanja wa mazoezi ndani [emoji38]Endelea tu kucheka, si bado hujashushiwa mabanzi teh
Yani kama natawanya mpunga vile, sisi sio watu wa sport sport. Unakuwa na adabu bila kupenda[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dota kama nakuona unamtawanya mtu meno.
Unatujua vizuri lakini? [emoji13] [emoji13]Huyo baunsa bila shaka ni mnyakyusa
Vizuri sanaUnatujua vizuri lakini? [emoji13] [emoji13]
Ah ah ah ah ha unaogopa kipondo oohBora niwe single tu!
Habari za kupigwa na mke sitakagi kuzisikia masikioni mwangu aiseeh
unaoaje mwanamke mbabe kwanza.. ameyataka mwenyeweKumbe wakati mwingine na wanaume wanapatikana. Mana huyo kapatikana aisee.