Bouncer ameolewa

Bouncer ameolewa

Itakuwa unatumia nafsi zingine ili kufikisha ujumbe, manake kama ndio kila siku marafiki tu, wana shida!!
 
Kumbe wakati mwingine na wanaume wanapatikana. Mana huyo kapatikana aisee.
 
Wewe kila siku mashost, basi una mashost si wa mchezo-mchezo
 
hapo hakuna ndoa tena, na lazima jamaa aaendelee kuchepuka milele.....
 
Yaani mashosti zako wana matatizo kila Siku mashosti naona Leo bondia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom